Dear,
Pale Mwatasi kuna kamsitu ka miti ya pines yenye umri wa miaka miwili, ukubwa wa shamba unakadiriwa kufika eka 30, na eka moja ni laki 4 bei ya kuanzia. Mwatasi panafikika kwa tax toka Iringa mjini, usafiri wa bus kila siku upo.
Kama unahitaji basi tuwasiliane.
Malila