Dear members,
Nimeweka jumla ya michango yetu na kuigawa kwa 330,000/ kama thamani ya hisa moja. Kuna fedha ili bidi nijazie ili kazi isisimame kwa wanachama wafuatao, Allen Garimo, Mboka,Chalamila na Ndori nikiwa na matarajio kuwa watatoa michango yao mapema na hivyo ningerejesha nilipo chukua. Ilikuwa ni lazima kujazia ili banda lijengwe ili kuweka alama ktk shamba letu.
Mimi sitawadai ila naomba hela hizi ziingie ktk hisa zangu,jumla ni Tsh 1,305,000/.Kwa hiyo ukigawa kwa 330,000/ ni hisa 3.95. Hizo sehemu nilizoweka xxx ni kwamba hela zilikopwa sehemu na kujazia upungufu.
Lengo tumiliki shamba lile kwa hisa.Naomba maoni yenu wadau.
malila |