thanks's for the training material

15 views
Skip to first unread message

jackson charles

unread,
Mar 26, 2012, 7:24:58 AM3/26/12
to uga...@googlegroups.com
member wa ugani na wasalimu naninatumaini wote mlifika makwenu salama.Kondoa tulifika salama na nawatakia kazi njema karibuni kondoa

Magret Luther

unread,
Mar 27, 2012, 11:30:07 AM3/27/12
to uga...@googlegroups.com

Habari za jioni hongereni na majukumu------------------------------ On Mon, Mar 26, 2012 04:24 PDT jackson charles wrote: >member wa ugani na wasalimu naninatumaini wote mlifika makwenu salama.Kondoa tulifika salama na nawatakia kazi njema karibuni kondoa

Edith Kija

unread,
May 17, 2012, 10:53:10 AM5/17/12
to uga...@googlegroups.com
Naona sijajibiwa swali langu juu ya mabadiliko ya hali ya hewa je huko mlipo mwaonaje hali na nini tunashauriana kama viungo makini kati ya researcher na mkulima? Mawazo yenu ni muhimu sana.


From: Magret Luther <luther...@yahoo.com>
To: uga...@googlegroups.com
Sent: Tuesday, March 27, 2012 6:30 PM
Subject: Re: thanks's for the training material

Thadeo Kavishe

unread,
Jun 7, 2012, 2:09:38 AM6/7/12
to uga...@googlegroups.com
Mabadiliko ya hali ya Hewa yanatokea nadhani dunia nzima ila kuna tofauti kati ya sehemu na sehemu.
kwa mfano katika Wilaya yetu mabadiko ni makubwa kwenye maeneo ambayo uharibifu wa mazingira ni mkubwa likiwamo suala laukataji ovyo wa miti.
Nadhani kuna haja ya watalaamu wa kilimo kufikiria upya namna ya utoaji wa utalaamu wetu kwani inawezekana kabisa kuwa utaalamu tunaotoa sasa usiwe muafaka kwa wakulima wetu hasa masuala la mbegu bora kwani inawezekana mbegu tunazo washauri wakulima sasa zisifae au zinaweza kutoa mavuno kidogo kuliko awali. mfano maeneo yanayolimwa mahindi mbegu aina ya Staha, Kilima  na Ilonga composite hazikufanya vizuri kama miaka ya nyuma lakini mbegu aina Stuka M1 zimefanya vizuri zaidi pia waliotumia mbegu za SEEDCO zinazostahimili ukame zimefanya vizuri kwani maeneo mengi  Dry spell ilichukuwa muda mrefu kuliko kawaida!
Je maeneo yenu ilikuwaje?  Je Edith Kija nini mawazo yako kuhusu hili? umepata chochote? Wagani vipi mnaonaje!

2012/5/17 Edith Kija <edit...@yahoo.com>

mary nkwabi

unread,
Jun 7, 2012, 2:28:18 AM6/7/12
to uga...@googlegroups.com

Swali...gumu!
------------------------------
On Thu, Jun 7, 2012 1:09 AM CDT Thadeo Kavishe wrote:

>Mabadiliko ya hali ya Hewa yanatokea nadhani dunia nzima ila kuna tofauti
>kati ya sehemu na sehemu.
>kwa mfano katika Wilaya yetu mabadiko ni makubwa kwenye maeneo ambayo
>uharibifu wa mazingira ni mkubwa likiwamo suala laukataji ovyo wa miti.
>Nadhani kuna haja ya watalaamu wa kilimo kufikiria upya namna ya utoaji wa
>utalaamu wetu kwani inawezekana kabisa kuwa utaalamu tunaotoa sasa usiwe
>muafaka kwa wakulima wetu hasa masuala la mbegu bora kwani inawezekana
>mbegu tunazo washauri wakulima sasa zisifae au zinaweza kutoa mavuno kidogo
>kuliko awali. mfano maeneo yanayolimwa mahindi mbegu aina ya Staha, Kilima
>na Ilonga composite hazikufanya vizuri kama miaka ya nyuma lakini mbegu
>aina Stuka M1 zimefanya vizuri zaidi pia waliotumia mbegu za SEEDCO
>zinazostahimili ukame zimefanya vizuri kwani maeneo mengi Dry spell
>ilichukuwa muda mrefu kuliko kawaida!
>Je maeneo yenu ilikuwaje? Je Edith Kija nini mawazo yako kuhusu hili?
>umepata chochote? Wagani vipi mnaonaje!
>
>2012/5/17 Edith Kija <edit...@yahoo.com>
>
>> Naona sijajibiwa swali langu juu ya mabadiliko ya hali ya hewa je huko
>> mlipo mwaonaje hali na nini tunashauriana kama viungo makini kati ya
>> researcher na mkulima? Mawazo yenu ni muhimu sana.
>>
>> ------------------------------
>> *From:* Magret Luther <luther...@yahoo.com>
>> *To:* uga...@googlegroups.com
>> *Sent:* Tuesday, March 27, 2012 6:30 PM
>> *Subject:* Re: thanks's for the training material

freddy fuko

unread,
Jun 8, 2012, 12:23:10 AM6/8/12
to uga...@googlegroups.com


dear friends up there.jamani kuna watu wana block namba za simu alafu wanajalibu ATM mobile ili kuchutemple na account zako hili lipo hasa kwa watu wa NMB .ushauri kila baada ya miezi 3 jaribu kubadilisha ur code pia msitumie miaka au mwaka wa kumaliza shule au kuanza.

fuko,ludewa dc

dave ac

unread,
Jun 8, 2012, 5:09:52 AM6/8/12
to uga...@googlegroups.com

MY OPINION, THERE'S NOTHIN WE CAN DO AT A LOCAL LEVEL TO COMBAT IT, SAWA BAADHI YA VARIETY ZINAZOWITHSTAND ZIMEKUWA NA MAFANIKIO, LAKINI JE HILI NI SULUHISHO LA KUDUMU?

 MABADILIKO YA HALI YA HEWA YANAENDELEA MWAKA HADI MWAKA, NA PIA KUNA DRIFT EFFECT YA WEATHER TOKA SEHEMU MOJA HADI NYINGINE. LET ME CITE AN EXAMPLE, UKANDA WA TARAFA YA ISIMANI, HATA TUKUSEMA TUPANDE MITI, HAKUNA MVUA YA KUTOSHA KUENDELEZA HIYO MITI, PIA TUNAPAKANA NA DODOMA NA SINGIDA, TUKI ACT AT A DISTRICT LEVEL BADO TUTAATHIRIWA NA DRIFT EFFECT ZA MIKOA YA DODOMA NA SINGIDA. THEORETICALLY IT IS POSSIBLE BUT PRACTICALLY IMPOSSIBLE.

WE'D RATHER THINK ON FEASIBILITY RATHER THAN POSSIBILITIES, BECAEUSE EVERYTHING IS POSSIBLE, BUT FEW THINGS ARE FEASIBLE.
--- On Wed, 6/6/12, Thadeo Kavishe <kavish...@gmail.com> wrote:

Rehema Mdendemi

unread,
Jun 9, 2012, 2:52:21 AM6/9/12
to uga...@googlegroups.com
Hi Fuko,

Ahsante sana kwa kutuzindua. Ushauri wako utazingatiwa kwa kuwa una manufaa.

Mrs Mdendemi


From: freddy fuko <poz...@yahoo.com>
To: uga...@googlegroups.com
Sent: Friday, June 8, 2012 7:23 AM
Subject: bank huckers

Lubatillah Shaban

unread,
Jun 10, 2012, 11:47:39 AM6/10/12
to uga...@googlegroups.com
kijana upo sahihi kabisa, taarifa hii ni muhimu sana kwetu kwa kuzingatia wakati huu ulivyo. pia kuna watu wanatumia njia mbalimbali kuwalaghai watu kwa kuwadanganya kupandishwa vyeo, au kubadilishwa kitua cha kazi na kuwaambia kutuma kiasi fulani cha fedha ili shughuli hiyo ifanyiwe kazi mapema, ushauri unaendelea kutolewa kuwa wataalam tuwe makini sana kwa kuweka prifile zetu katika mitandao ya kijamii ndimo wanapitia sana.

kazi njema jamani.

--- On Fri, 6/8/12, freddy fuko <poz...@yahoo.com> wrote:

eliabu ndosi

unread,
Jun 18, 2012, 1:02:18 AM6/18/12
to uga...@googlegroups.com
Asante sana ndugu yangu kwa ushauri huo ambao ni muhimu sana, hali si nzuri kabisa na hasa pia kwa wale wanaotumia NMB MOBILE, wawe na umakini mkubwa, pia waalimu waache kutumana msahara kwa kupeana namba za siri za acc. zao na ATM card kwa ajili ya kuletewa mishahara, USHAURI kama ni muhimu sana ni heri kuhamishia kiasi cha fedha kwa huyo unayetegemea kumtuma achukue kwa acc. yake.

Thankx all.

--- On Sun, 6/10/12, Lubatillah Shaban <sluba...@yahoo.com> wrote:

Rosemary Shao

unread,
Jun 28, 2012, 4:29:34 AM6/28/12
to uga...@googlegroups.com
Ni nzuri tu. Nasikitika kuwaarifu kifo cha mama yangu mzazi kilichotokea kwa ajali ya gari. Nawaomba tumwombee apumzike kwa amani


From: Edith Kija <edit...@yahoo.com>
To: "uga...@googlegroups.com" <uga...@googlegroups.com>
Sent: Thursday, May 17, 2012 5:54 PM
Subject: Re:Habari wagani

----- Forwarded Message -----

Naona sijajibiwa swali langu juu ya mabadiliko ya hali ya hewa je huko mlipo mwaonaje hali na nini tunashauriana kama viungo makini kati ya researcher na mkulima? Mawazo yenu ni muhimu sana.


From: Magret Luther <luther...@yahoo.com>
To: uga...@googlegroups.com
Sent: Tuesday, March 27, 2012 6:30 PM
Subject: Re: thanks's for the training material


eliabu ndosi

unread,
Jun 28, 2012, 7:13:53 AM6/28/12
to uga...@googlegroups.com
P0le sana Rozi ni mapenzi yake MOLA mungu ailaze mahali pema peponi, sote wagani tupo pamoja  nawe katika huo msiba mzito wa kuondokewa na mama yako mzazi,

MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI AMENI

--- On Thu, 6/28/12, Rosemary Shao <shaoro...@yahoo.com> wrote:

From: Rosemary Shao <shaoro...@yahoo.com>
Subject: Re: Habari wagani

Alfred Sife

unread,
Jun 28, 2012, 7:57:20 AM6/28/12
to uga...@googlegroups.com, uga...@googlegroups.com
Pole sana Rose. Mungu awape nguvu.

A. S. Sife

kazoka james

unread,
Jun 28, 2012, 8:11:15 AM6/28/12
to uga...@googlegroups.com
Pole sana Madam Rose, Mungu awape faraja itokayo kwake.
 
James Kazoka


--- On Thu, 28/6/12, Alfred Sife <sif...@gmail.com> wrote:

From: Alfred Sife <sif...@gmail.com>
Subject: Re: Habari wagani
To: "uga...@googlegroups.com" <uga...@googlegroups.com>

Renatus Mutatina

unread,
Jun 28, 2012, 12:13:22 PM6/28/12
to uga...@googlegroups.com
Rose pole sana, Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina lake lihidimiwe, Mwenyezi Mungu awape nguvu kwa wakati huu mgumu, Tumwombee apumzike kwa amani! Amen


--- On Thu, 28/6/12, Rosemary Shao <shaoro...@yahoo.com> wrote:

From: Rosemary Shao <shaoro...@yahoo.com>
Subject: Re: Habari wagani
To: "uga...@googlegroups.com" <uga...@googlegroups.com>

paschalina john

unread,
Jun 28, 2012, 1:18:05 PM6/28/12
to uga...@googlegroups.com

Dear, Mgani
 
Pole sana yote ni kwa mapenzi ya Mungu kwani alishatuambia kuwa mwanadamu siku zake za kuishi duniani si nyingi. Naye ametangulia kwa baba kutuandalia MAKAO.
Bwana ndiye aliyetoa na Bwana ndiye ametwaa na jina lake lihimidiwe.
 
Hayuma

--- On Thu, 6/28/12, Rosemary Shao <shaoro...@yahoo.com> wrote:

From: Rosemary Shao <shaoro...@yahoo.com>
Subject: Re: Habari wagani
To: "uga...@googlegroups.com" <uga...@googlegroups.com>

deusdedit rugangila

unread,
Jun 28, 2012, 3:17:54 PM6/28/12
to uga...@googlegroups.com
Pole sana ndugu. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.


From: paschalina john <pasch...@yahoo.com>
To: uga...@googlegroups.com
Sent: Thursday, June 28, 2012 8:18 PM
Subject: Re: Habari wagani

lilian paschal

unread,
Jun 29, 2012, 4:28:37 AM6/29/12
to uga...@googlegroups.com
pole sana mpendwa,sote tu njia moja.Mungu amlaze mahali pema peponi.Lilian Paschal.

2012/6/28 Rosemary Shao <shaoro...@yahoo.com>

ayub sengo

unread,
Jul 1, 2012, 6:22:40 AM7/1/12
to uga...@googlegroups.com
Pole sana rosemary. hayo ni mapenzi ya mungu .Tumuombee zaidi

From: Rosemary Shao <shaoro...@yahoo.com>
To: "uga...@googlegroups.com" <uga...@googlegroups.com>
Sent: Thursday, 28 June 2012, 1:29
Subject: Re: Habari wagani

Ni nzuri tu. Nasikitika kuwaarifu kifo cha mama yangu mzazi kilichotokea kwa ajali ya gari. Nawaomba tumwombee apumzike kwa amani

From: Edith Kija <edit...@yahoo.com>
To: "uga...@googlegroups.com" <uga...@googlegroups.com>
Sent: Thursday, May 17, 2012 5:54 PM
Subject: Re:Habari wagani

----- Forwarded Message -----

Naona sijajibiwa swali langu juu ya mabadiliko ya hali ya hewa je huko mlipo mwaonaje hali na nini tunashauriana kama viungo makini kati ya researcher na mkulima? Mawazo yenu ni muhimu sana.

Lubatillah Shaban

unread,
Jul 1, 2012, 11:37:09 AM7/1/12
to uga...@googlegroups.com
pole sana kaka mipango ya mungu binadamu hatuwezi kuzuia. nakuomba uwe na utulivu katika kipindi hiki kigumu. mungu alitoa na mungu ametwaa. Jina la bwana lihimidiwe. Ameni!!

Cc: "uga...@googlegroups.com" <uga...@googlegroups.com>
Sent: Thursday, June 28, 2012 2:57 PM
Subject: Re: Habari wagani
Pole sana Rose. Mungu awape nguvu.

A. S. Sife

On 28 Jun 2012, at 11:29, Rosemary Shao <shaoro...@yahoo.com> wrote:

Ni nzuri tu. Nasikitika kuwaarifu kifo cha mama yangu mzazi kilichotokea kwa ajali ya gari. Nawaomba tumwombee apumzike kwa amani

From: Edith Kija <edit...@yahoo.com>
To: "uga...@googlegroups.com" <uga...@googlegroups.com>
Sent: Thursday, May 17, 2012 5:54 PM
Subject: Re:Habari wagani

----- Forwarded Message -----

Naona sijajibiwa swali langu juu ya mabadiliko ya hali ya hewa je huko mlipo mwaonaje hali na nini tunashauriana kama viungo makini kati ya researcher na mkulima? Mawazo yenu ni muhimu sana.

deusdedit rugangila

unread,
Jul 1, 2012, 11:42:12 AM7/1/12
to uga...@googlegroups.com
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo. Leo hii ni mwanzo wa mwaka mpya wa Fedha 2012/13. Kama sehemu muhimu ya Wagani nchini tunayo nafasi katika kuleta Mapinduzi ya kilimo nchini! Katika bajeti iliyotengwa mwaka huu wa Fedha yaelekea changamoto ni nyingi..Tumejiandaaje katika kuleta mabadiliko katika mnyororo wa thamani wa mazao tunayoyasimamia...
 Salaam nyingi na Mungu awajalie katika majukumu ya kila siku.


From: ayub sengo <seng...@yahoo.co.uk>
To: "uga...@googlegroups.com" <uga...@googlegroups.com>
Sent: Sunday, July 1, 2012 1:22 PM
Subject: Re: Habari wagani

Rosemary Shao

unread,
Jul 2, 2012, 6:26:23 AM7/2/12
to uga...@googlegroups.com

Nawashukuruni ndugu zangu wagani kwa faraja zenu. Kwa kweli ni kipindi kigumu sana kwangu.

From: lilian paschal <lilian...@gmail.com>
To: uga...@googlegroups.com
Sent: Friday, June 29, 2012 11:31 AM
Subject: Re: Habari wagani

----- Forwarded Message -----

pole sana mpendwa,sote tu njia moja.Mungu amlaze mahali pema peponi.Lilian Paschal.

2012/6/28 Rosemary Shao <shaoro...@yahoo.com>
Ni nzuri tu. Nasikitika kuwaarifu kifo cha mama yangu mzazi kilichotokea kwa ajali ya gari. Nawaomba tumwombee apumzike kwa amani

mary nkwabi

unread,
Jul 3, 2012, 10:37:52 AM7/3/12
to uga...@googlegroups.com
Pole sana jamani!

Sent: Sunday, July 1, 2012 3:22 AM
Subject: Re: Habari wagani

August Makyao

unread,
Jul 23, 2012, 9:21:11 AM7/23/12
to uga...@googlegroups.com
Thadeo Kavishe unaombwa utume adress yako UNESCO ili tukumie cheti cha mafunzo ya ICT yaliyofanyika Dodoma

mary nkwabi

unread,
Jul 24, 2012, 5:57:55 AM7/24/12
to uga...@googlegroups.com
habari zenu wagani? Unesco watatafuta address zenu wawatumie vyeti vyenu.kwa maelezo zaidi pigeni namba  hiyo +25522234292 UNESCO DSM

--- On Mon, 7/23/12, August Makyao <august...@gmail.com> wrote:

From: August Makyao <august...@gmail.com>
Subject: Re: Habari wagani
To: uga...@googlegroups.com
Date: Monday, July 23, 2012, 8:21 AM

Thadeo Kavishe unaombwa utume adress yako UNESCO ili tukumie cheti cha mafunzo ya ICT yaliyofanyika Dodoma


From: Magret Luther <luther...@yahoo.com>
To: uga...@googlegroups.com
Sent: Tuesday, March 27, 2012 6:30 PM
Subject: Re: thanks's for the training material


Habari za jioni hongereni na majukumu---------------------- -------- On Mon, Mar 26, 2012 04:24 PDT jackson charles wrote:  >member wa ugani na wasalimu naninatumaini wote mlifika makwenu salama.Kondoa tulifika salama na nawatakia kazi njema karibuni kondoa



Edith Kija

unread,
Aug 14, 2012, 9:49:05 AM8/14/12
to uga...@googlegroups.com
Rose pole sana kwa kumpoteza mama kikubwa ni kumshukuru Mungu kwani Apangalo yeye halina makosa.


Sent: Monday, July 2, 2012 1:26 PM
Subject: Re: Habari wagani

Thadeo Kavishe

unread,
Aug 20, 2012, 12:45:45 PM8/20/12
to uga...@googlegroups.com
Rose Pole sana dada  kwani hayo ni mapenzi ya Muumba kwani yeye alimpenda zaidi.

2012/8/14 Edith Kija <edit...@yahoo.com>

Rosemary Shao

unread,
Sep 11, 2012, 2:58:13 AM9/11/12
to uga...@googlegroups.com
Mbona wagani mmekuwa kimya sana? huko makwenu kuna issue zipi?


From: mary nkwabi <nkw...@yahoo.com>
To: uga...@googlegroups.com
Sent: Tuesday, July 24, 2012 1:00 PM
Subject: Re: Habari wagani

----- Forwarded Message -----

habari zenu wagani? Unesco watatafuta address zenu wawatumie vyeti vyenu.kwa maelezo zaidi pigeni namba  hiyo +25522234292 UNESCO DSM

--- On Mon, 7/23/12, August Makyao <august...@gmail.com> wrote:

From: August Makyao <august...@gmail.com>
Subject: Re: Habari wagani
To: uga...@googlegroups.com
Date: Monday, July 23, 2012, 8:21 AM

Thadeo Kavishe unaombwa utume adress yako UNESCO ili tukumie cheti cha mafunzo ya ICT yaliyofanyika Dodoma


From: Magret Luther <luther...@yahoo.com>
To: uga...@googlegroups.com
Sent: Tuesday, March 27, 2012 6:30 PM
Subject: Re: thanks's for the training material


Habari za jioni hongereni na majukumu---------------------- -------- On Mon, Mar 26, 2012 04:24 PDT jackson charles wrote:  >member wa ugani na wasalimu naninatumaini wote mlifika makwenu salama.Kondoa tulifika salama na nawatakia kazi njema karibuni kondoa





mary nkwabi

unread,
Sep 11, 2012, 3:38:30 AM9/11/12
to uga...@googlegroups.com

kweli..kabisa!..kiiiimya!
------------------------------
On Tue, Sep 11, 2012 1:58 AM CDT Rosemary Shao wrote:

>Mbona wagani mmekuwa kimya sana? huko makwenu kuna issue zipi?
>
>
>
>________________________________
> From: mary nkwabi <nkw...@yahoo.com>
>To: uga...@googlegroups.com
>Sent: Tuesday, July 24, 2012 1:00 PM
>Subject: Re: Habari wagani
>
>----- Forwarded Message -----
>
>

deusdedit rugangila

unread,
Sep 11, 2012, 3:57:10 AM9/11/12
to uga...@googlegroups.com
Salama. Yawezekana ni u bize!


From: mary nkwabi <nkw...@yahoo.com>
To: uga...@googlegroups.com
Sent: Tuesday, September 11, 2012 10:38 AM
Subject: Re: Habari wagani


Thadeo Kavishe

unread,
Nov 17, 2012, 1:17:47 PM11/17/12
to uga...@googlegroups.com
Wagani wenzangu je mmepata vyeti vyenu vya mafunzo? nasikitika mimi hadi leo sijapata cheti changu hata baada ya kuandika massege  nyingi. Tafadhali tufahamishane.
T. H. Kavishe

Bernard Bernard Mlilile

unread,
Nov 18, 2012, 1:50:16 AM11/18/12
to UGANI ICT-UNESCO
Pole sana T.H. KAVISHE
Sisi wa Wilaya ya Kilosa tulipata vyeti vyetu kupitia Sanduku la Posta. Hivyo jaribu tena kuwasiliana nao kwa njia ya simu ili kujua kama wametuma.
Kisha pia unaweza kuwasiliana na yule mkufunzu wa pale sua japokua sijajua upo wilaya gani. Mimi ni Bernard Benard Mlilile wa wilaya ya Kilosa ila kwa sasa nipo Sua nimeanza masomo, Collaborative Master program in Agricultural and Applied Economics.

Nawatakia Kila laheri katika shughuli zenu za kuwaelimisha wakulima.

Mlilile, Bernard B.


Date: Sat, 17 Nov 2012 21:17:47 +0300
Subject: Re: Habari wagani
From: kavish...@gmail.com
To: uga...@googlegroups.com

lilian paschal

unread,
Nov 18, 2012, 4:14:36 AM11/18/12
to uga...@googlegroups.com


2012/11/18 Bernard Bernard Mlilile <mli...@hotmail.com>
Mlilile, Bernard B.

>Pole sana jaribu kuwasiliana na makao makuu,labda kuna makosa madogo katika kusafilisha wamechanganya address na kutuma nakwingine.




Thadeo Kavishe

unread,
Nov 18, 2012, 12:05:02 PM11/18/12
to uga...@googlegroups.com
Hongera Bernard kaza buti nasikitika pia address ya yule  mkufunzi sina. Je unaweza unaweza  kuniunganisha  nakapata mawasiliano aidha na yule mkufunzi au makao makuu.
Mimi ni jirani yako Niko Kongwa.
Asante
T.H.Kavishe

2012/11/18 lilian paschal <lilian...@gmail.com>

Bernard Bernard Mlilile

unread,
Nov 18, 2012, 1:01:31 PM11/18/12
to UGANI ICT-UNESCO
Thank you T.H. KAVISHE,

I will make follow-up tommorrow and inform you asap.
Have a nice day

Regards Mlilile, B.B


Date: Sun, 18 Nov 2012 20:05:02 +0300
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages