Natumai u r all ok kwa mujibu wa natalis ,holela anarudi kesho kutwa
na natalis alintel anakusdanya ka rambirambi kwa kwa ajili ya mwenzetu
so may be mcheki nae for updates zaidi.
> Nianze kwa kutoa pole kwa sote na hususan ndugu yetu Holela kwa msiba mkubwa
> uliotupata, lakini kwa kuwa ni mapenzi ya Mungu basi yametimia!
> Nway hatuna la zaidi isipokuwa kuyakubali yaliyotokea na Mungu atukuzwe.
>
> However i would like to know if there is something like contribution to help
> our fellow sort out the funeral confortable maana yeye ndiye baba na maisha
> tunafahamu sote kuwa siyo masyara.
>
> Pili niwataarifu kuwa email yangu ilifanyiwa kitu tunaita 'phishing' wahuni
> waligain full access leo ndio nimefanikiwa kuwaondoa otherwise i apoligies
> for all nuisance happened.
> thanks and God bless us all.
>
> --- On Wed, 25/11/09, Eliakim Mwakapiso <
kim...@gmail.com> wrote:
>
>
> From: Eliakim Mwakapiso <
kim...@gmail.com>
> Subject: {UDSM FIVE GRADUATES 2008} Re: MSIBA
> To:
udsm_...@googlegroups.com
> Date: Wednesday, 25 November, 2009, 18:58
>
>
> Pole sana rafiki holela,Mungu akutangulie katika kipindi hiki kigumu..
>
>
>
>
>
>
> Eliakim Mwakapiso,
>
> Application Administrator
> 91 Regent Street,Regent Estate
> 4C Group East Africa Ltd
> P.O.Box 80187 Dsm-Tanzania
> Mobile:
+255-766-885001
> Telephone:+255 222-700-529
>
Email:eli...@4cgroup.co.za
>
>
>
> Marie von Ebner-Eschenbach - "Even a stopped clock is right twice a day."
>
>
> On Wed, Nov 25, 2009 at 3:05 PM, yahaya kawia <
yka...@yahoo.com> wrote:
>
>
>
> Pole sana ndugu!
> From God we originate, to Him we shall return.
>
> Yahya Kawia
> Software Developer
> CESAI T. LTD
> Phone:
+255757240575
>
>
>
>
>
>
> --
>
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "UDSM FIVE GRADUATES 2008" group.
> To post to this group, send email to
udsm_...@googlegroups.com.
> To unsubscribe from this group, send email to
>
udsm_cs_08+...@googlegroups.com.
> For more options, visit this group at
>
http://groups.google.com/group/udsm_cs_08?hl=en.
>
>
>