| Nashukuru sana kwa majibu mazuri, nilidhani ni mimi peke yangu niliyesikia maneno ya ajabuajabu.Pale Rais hakutumia busara hakuhitaji kuwakejeli watu kama si watu wanaojua kitu wanachokidai,sidhani kama ni siasa ama nini ila naona rais anajiamini kuwa hatakosa kura. ila kumchagua rais mwenye maneno ya ajabuajabu kwa wananchi wake si busara kama hakuwa na lugha nzuri ya kuzungumza ni bora asingezungumza kitu kwani mimi niliona anazungumza kama mtoto wa under 18 wanapokuwa wanagombana maneno yanayotoka huwa ni ya namna hiyo. --- On Fri, 7/5/10, M.D. Seth <sethm...@yahoo.com> wrote: |
Hey dudes,
Mbb group si uwanja wa siasa...! Hapa tunahitaji scientific information period!
Mambo ya siasa za Kikwete, Lipumba na Mrema zina majukwaa yake! Ally
"...in the abundance of water, the fool is thirsty..." --- On Fri, 5/7/10, athanasia maro <tana...@yahoo.co.uk> wrote: |
Daniel,
Nakubalina na maelezo yako...! LAKINI kwa kukuelewesha tu, tofauti ya msingi ya KICHAA (mgonjwa wa akili) na Binaadamu kamili (asie kichaa) ni kutofautiana katika kutenda mambo at right place!
Mfano mdogo tu: Wote huwa wanavua nguo (kichaa na asie na kichaa), lakini tofauti kichaa yeye huvua akiwa bara barani au mbele za watu, wakati mwenye akili timamu yeye huvua akiwa faragha. Na mengine mengi uone ajabu akiyafanya kichaa na wewe mwenye akili huwa wayafanya tofauti ni SEHEMU husika ya kufanyia. Kwa hiyo kama mnataka kuzungumzia siasa nadhani mngeanzisha group nyengine ya siasa...! Wengine tupo mbb-group kwa sababu tunajuwa LENGO lake la kuanzishwa ni sababu ya kupeana information za ki SCIENCCE SIO ki POLITICS (mwenyekiti (vito) kama siko sahihi nikosoe)!
Tukitamani siasa tunaenda Jamii forum, Mwanakijiji , michuzi blog na nyengine telee!
Let us do the right thing at the right place! |
|
Ally
"...in the abundance of water, the fool is thirsty..." |
| --- On Fri, 5/7/10, Daniel Minja <minj...@yahoo.com> wrote: |
Hi folks!
Ally is so damn right. Sometimes utakuta members wanachat kutumia hii network for their own affairs, c'mo guys let us use this network purposelly!
God bless you all.
Thanks & Regards,
Noel
Noel A. Nkya
Regional Lab Focal Person (BSc) ICAP TANZANIA International Center for AIDS Care and Treatment Programs
MAILMAN SCHOOL OF PUBLIC HEALTH
COLUMBIA UNIVERSITY
Plot 312, Lugalo Street, Upanga off UN Road
Tel: +255 22 212 6726/29 Fax: +255 22 212 1695 --- On Fri, 5/7/10, ally mahadhy <allym...@yahoo.com> wrote: |
Davis,
It's so redicoulous, kama kila kinacho athiri science kijadiliwe hapa, huko ni kupoteza dira na mwelekeo! Coz napata hisia kwamba iko siku tutaanza kujadili MAPENZI hapa! Kwakuwa kila kinacho muathiri mwana science ndicho kile kile kinachomuathiri Bar maid, muimba bongo fleve, mfanyakazi wa TRA n.k! Kwa hiyo unataka kuifanya MBB-group iwe dampo kama hyo JF! Nanukuu "...Sambamba na hilo, huko kwenye viwanja vingine (JF n.k) mnakokuzungumzia, hakuna speciality, ni kama dampo tu kila mtu anazungumzia kulingana na mtazamo wake" (Davis, 2010).
Naona ni busara kila kitu kifanywe kwa specialization yake, hata MUNGU alizifanya cells za mwili wetu ziwe na specialization , ndo maana tuna miguu, mikono, maini, ubongo n.k ingawa vyote hivi vinategemeana, lakini kamwe mguu hautofanya kazi ya ubongo and vice versa! Kama navyosema Mwenyeketi lets be focused (tukiwa mbb-group), but haimaanishi kwamba unakatazwa kuongelea siasa, au mapenzi au whatever nje ya mbb-group. Since hatuko kwenye kisiwa chetu, basi tutaenda kwenye majukwaa yaliyo specialize kwa sector hizo nasi tutaziongelea kwa upana tu!
NB: Naomba tusipoteze muda zaidi kuliongelea hili, sababu pia ni kupoteza muelekeo.! |
|
Ally
"...in the abundance of water, the fool is thirsty..." |
| --- On Sat, 5/8/10, Davis John <dcl...@gmail.com> wrote: |
| LAKINI UKWELI SI UKO PALE PALE! JE MMAREKANI MWANASCIENCE AKIONA MDEMOCRACIA (NON SCIENTIST)POLITICIAN ANAPITISHA NUCLEAR WEAPON ZITUMIKE NCHINI KWAKE ,AKAYE KIMYA KWASABABU YEYE YUKO BUSY NA SCIENCE YAKE ANGALI UNAJUA MADHARA YA NUCLER . SAMAHANI MR RAMADHANI, WE DONT DISCUSS POLITICS WE ARE DISCUSSING WHAT AFFECT EVERYONE IN OUR COUNTRY, HUWEZI JIFUNGIA NDANI WATOTO WAKO WAKO NJE WANAUWAWA UKASEMA MIMI NIKO BUSY NAFANYA SCIENCE SITAKI UGOMVI, USIJIDANGANYE . |