[Udakuzi Mtandaoni | King of Gossipy] TAZAMA PICHA ZA MAANDALIZI YA PARTY YA WASTARA
0 views
Skip to first unread message
Blogger
unread,
Mar 7, 2016, 12:27:35 AM3/7/16
Reply to author
Sign in to reply to author
Forward
Sign in to forward
Delete
You do not have permission to delete messages in this group
Copy link
Report message
Show original message
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message
to udakuzi-...@googlegroups.com
Kikao cha kwanza cha maandalizi ya part yangu ya pongezi kwa mengiiiiii niliyopitia
Mpka hapa nilipofikia
Na kuna wale waliokosa mengiii yangu awakufanikiwa kuhudhuria basi
Nimeamua kuandaa hii part kwa ajili ya wasaniii wenzangu ndugu zangu marafiki zangu na wengineo wengiiii waliyo tayari kuwa pamoja nami ikifika wakati moyo unahitaji furaha na nafasi ya kuipatia ipo basi upe moyo faaraj ni wakati wenu wale ambao mlitamani siku moja mkiniona mwenye amani na una lolote la kusema juu yangu basi hii ni nafasi yako sasa unaweza kuwa kwenye kamati yangu ili kuonyesha ushirikiano wako
Part itafanyika tal 2/4/2016 itafanyika my fair plaza .