[Udakuzi Mtandaoni | King of Gossipy] Diamond Azindua Perfume yake ya Chibu

0 views
Skip to first unread message

Blogger

unread,
Apr 22, 2017, 1:01:21 AM4/22/17
to udakuzi-...@googlegroups.com



Diamond Platnumz leo mchana amezindua rasmi perfume yake ya Chibu Perfume, hatua ambayo ni ya kihistoria. 

Perfume hiyo yenye asili kutokea Dubai itauzwa kiasi cha Tsh 105,000. Diamond alisema "Inaaminika kuwa Dubai ndio sehemu kunakotoka manukato mazuri.




--
Posted By Blogger to Udakuzi Mtandaoni | King of Gossipy on 4/22/2017 08:01:00 am
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages