NIMETONGOZWA NA DADA YAKE MSICHANA NINAEMPENDA bado sijamjibu chochote nimekata mawasiliano kwa muda ili kutafakari.

16 views
Skip to first unread message

Mkisi,George M.

unread,
Jun 3, 2017, 9:22:58 AM6/3/17
to udakuzi-mtandaoni
Upendo wangu na haupo kwake kiukweli upo kwa mdogo wake, lakini
nilishindwa kuwa wake kabla ya dada yake kufanya mambo yake kweli
nimeamini chelewa chelewa utakuta mwana si wako'.


Kwa jinsi nilivyompenda mdogo wake sijui ni nini kilichonifanya nisimwambie.

Read More: https://georgem.co.tz/showthread.php/107430-Sio-Dada-yake-ila-Mdogo-Wake-Ndiye-Chaguo-Langu-Dada-Kanitongoza-Kabla-Sijamtongoza-Mdogo-wake-niliyekuwa-Namnyatia
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages