Sorry for Cross Posting!
BIG BANG! BIG BANG!
SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS)
TGNP Mtandao, kwa kushirikiana na Wanaharakati wa Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS), Haki Elimu, LHRC, Jukwaa la Katiba,TAMWA na Mtandao wa Wanawake na Katiba, wameandaa mjadala wa wazi:
KWA NINI RAIS ASITIE SAINI MUSWADA WA SHERIA YA MAREKEBISHO YA SHERIA YA MABADILIKO YA KATIBA YA MWAKA 2013.
JOPO LA WAZUNGUMZAJI: Prof Issa Shivji (Chuo Kikuu cha Dar es salaam), Prof Ruth Meena(TGNP Mtandao), Dr Azaveri Lwaitama (Chuo Kikuu cha Dar es Salaam), Anna Henga(LHRC),Jenerali Ulimwengu( Mwanaharakati wa kijamii)na Deus Kibamba(Jukwaa La Katiba).
Lini: Jumatano Tarehe 18 Septemba 2013
Muda: saa 03:00 asubuhi – 07:00 mchana
MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni
Tafadhali sambaza ujumbe huu wa muhimu kwa watu wengi iwezekanavyo ili kufanikisha mjadala huu wa wazi,ratiba itafuata baadae.