Habari zenu, Nimepokea taarifa kutoka kwa mke wa Bw.John Mwangakala mda mchache uliopita kuwa mume wake ambaye alikuwa ni mmoja wanaAlumni (TzInterAction) amefariki asubuhi ya leo.Msiba uko nyumbani kwa marehemu Mtoni Kijichi, njiz ya kwenda Police qters, karibu na ofisi ya Kibedea.Namba ya mke wa marehemu ni 0715450412. Naomba kuwasilisha taarifa hii kwenu kwa hatua zenu. Aidha, kama itawezekana,ingefaa tukashiriki msiba huu kama wanaAlumni....mnaonaje? Sent from Yahoo! Mail on Android |