Wana Pamoja,
Kwa yoyote mwenye hitaji la usafiri kwa kundi la abiria mpaka 12 basi asihangaike kwenda mbali. Hiace (pichani) ipo kwa ajili ya mahitaji kama hayo.
Kwa hapa hapa Dar au hata kwa safari za mikoani au hata ktk miji kadhaa ya nchi jirani Mombasa, Nairobi n.k.
- Inabeba Abiria mpaka 12; sehemu ya nyuma inabeba abiria 10 na abiria 2 wanaweza wakaa seat za mbele kwa dereva.
- Ina sehemu ya mizigo nyuma kabisa
- AC
- Kila kiti (isipokuwa kimoja tu cha kukunjua) kina safety seat belt
- Music System ya nguvu
- Sehemu ya kuchajia simu na vifaa vya elektroniki - zile chaja za mikia ya pweza.
- abiria 3 hukaa kwa kila mstari. Tofauti na hiace zilizo zoeleka ambazo abiria 4 hukaa kwa mstari/row. Sort of an executive configuration.
- Viti vinavyoweza kulazwa kidogo ili abiria aweze kupumzika vizuri wakati wa safari.
- Dereva mwenye nidhamu na msikivu.
Tuwasiliane kama wewe, ndugu, jamaa au taasisi unayoifahamu inakuwa na hitaji la usafiri wa abiria idadi hiyo.
Naamin tuko pamoja
Kazikupenda Chale,
Tembea Tanzania ¦ tembeatz.blogspot.com,
+255754711019
--
--
You received this message because you are subscribed to the Google
Groups "Twende.Pamoja" group.
To post to this group, send email to Twende...@googlegroups.com
For more options, visit this group at
http://groups.google.com/group/TwendePamoja?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Twende.Pamoja" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to twendepamoja...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
Ni kweli kabisa Frank,
hiyo ni moja ya shughuli ambayo ipo ndani ya category ya dar trips.
Ki ukweli hiace zenye configuration ya namna hii (na muonekano mzuri na simple) zinafaa kushinda Noah in terms of capacity.
Hii ya kwetu haina machata wala michoro, plain n simple
Karibuni
Kazikupenda Chale,
Tembea Tanzania ¦ tembeatz.blogspot.com,
+255754711019