HABARI MPASUKO:
Kutoka viunga vya jiji la Mbeya umati mkubwa wa wakazi wa mbeya na wilaya zake wanazidi kumiminika kuliko eneo la uzinduzi wa lift ya kwanza jijini hapo.
Nimeongea na shuhuda wa sherehe hizo Mzee Mwaifilifuli Mwaikurikuri mwasakalufya Mwaikonge Mwakifuna anasema toka azaliwe alikuwa hajapanda hiyo kitu.
Anaongeza kusema ujio wa lift hiyo utakuwa kivutio pia cha utalii wa ndani ktk jiji la Mbeya.
Mzee Mwamakula Mwakitosile naye anasema ktk mambo ambayo CCM itakumbukwa kwayo na wanambeya hata km itaondoka madarakani,ni kuvutia wawekezaji ktk sekta ya Lift.
Nimemtafuta ripota wetu Gwamaka/Gwakisa aweze kutujuza yanayojiri lkn simu yake inaita bila kupokelewa,inawezekana amejumuika na wananchi wanaopanda na kushuka ktk lift hiyo
Jioni nitamtafuta pamoja na Mwambenja watujuze,hadi hapo bdy ni mimi wapori pori.
Wahaya wana utani na kabila lolote toka mkoani Mbeya?? Ila tusiwacheke, mikoani kwetu nadhani hata kamati ya kuandaa sherehe kama hii hazijafikiriwa kuundwa.
--
--
You received this message because you are subscribed to the Google
Groups "Twende.Pamoja" group.
To post to this group, send email to Twende...@googlegroups.com
For more options, visit this group at
http://groups.google.com/group/TwendePamoja?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Twende.Pamoja" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to twendepamoja...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Hawa watani zangu wamediriki kuwa wawazi ila nadhani mikoa kibao hamna haya majamaa