Kikao cha dharura

23 views
Skip to first unread message

Frank Tilugulilwa

unread,
Apr 20, 2014, 1:18:36 PM4/20/14
to TwendePamoja
Heri ya sikukuu Pasaka kwenu nyote;
Tutakuwa na kikao cha dharura cha Wana Pamoja siku ya Jumapili, 27 April '14 kuanzia saa kumi jioni pale Land Mark Hotel - Ubungo .Tafadhali fika na marejesho yako ya mkopo; na zingatia kuwa, usipofika bila sababu itakayoafikiwa na wajumbe utakuwa umejitoa kwenye umoja "automatically" na kutaarifiwa.

M/Kiti

Denice Kamugumya

unread,
Apr 25, 2014, 6:15:45 AM4/25/14
to twende...@googlegroups.com
Greetings ....

Thanks M/kiti kwa taharifa.

Unfortunately, I would not be around. I will be represented by my wife.

Regards,

Denice Kamugumya
--
--
You received this message because you are subscribed to the Google
Groups "Twende.Pamoja" group.
To post to this group, send email to Twende...@googlegroups.com
For more options, visit this group at
http://groups.google.com/group/TwendePamoja?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Twende.Pamoja" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to twendepamoja...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


tilug...@gmail.com

unread,
Apr 27, 2014, 5:00:09 AM4/27/14
to twende...@googlegroups.com
Thanks Denis,

Japo kikao kimeahirishwa hadi Mei Mosi. 

Jumapili njema.

Frank Tilugulilwa
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages