Raha ya milele umpe ee bwana,na mwanga wa milele umwangazie. Apumzike kwa amani. Amen.
On Mon, Jul 16, 2012 13:57 BST jimmy mbelwa wrote:
>Tunawapa pole familia ya Bw an Bi Frank Tilugulilwa kwa kuondokewa na bibi yao.
>Bwana Ametoa,Bwana Ametwaa
>Jina la Bwana lihimidiwe
>
>
>
>Jimmy, Loveness and John
>
>
>
>________________________________
> From: edward mwangile <
egs...@gmail.com>
>To: TwendePamoja <
Twende...@googlegroups.com>
>Sent: Monday, 16 July 2012, 15:48
>Subject: [Twende.Pamoja] Taarifa ya msiba
>
>
>Wapendwa,
>
>Nasikitika kutoa taarifa kuwa Familia ya Bw. na Bi Frank Tilugulilwa wamepatwa na msiba wa bibi yao mpendwa(Bibi mzaa mama wa Frank).Msiba umetokea jana huko Bukoba na mazishi yatafanyika huko.Unaweza kuwasiliana na Frank kupitia namba 0767000255.
>
>Poleni sana Familia ya Bw. na Bi. Frank Tilugulilwa mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu.
>
>Bwana alitoa na Bwana ametwaa,Jina la bwana lihimidiwe.
>
>Katibu.
>
>