Imeelezwa kwamba, kwa msanii aliyetaka kuusimamisha usiendelee kuwa gumzo, ilibidi itumike nguvu kubwa, jambo ambalo skendo ya Harmo na Sarah imeshindwa kufua dafu.Hadi juzi, Wimbo wa Waah ulikuwa umetazamwa mara milioni 10 ndani ya wiki moja.
Wakati wimbo huo ukizidi kukamata, ghafla wiki iliyopita ndipo likaibuka sakata la Harmo kumtambulisha mwanaye, Zulekha aliyezaa nje ya ndoa kwa madai kwamba alikuwa akificha jambo hilo ili kutoharibu uhusiano wake na Sarah, lakini kwa sasa ameamua kuwa mkweli na kumuomba radhi mwanaye huyo kwa kumtelekeza.
Inawezekana kabisa Harmo ameibua jambo hili akilenga kuhamisha trending (gumzo) mtandaoni.Lakini mtu aliyesuka mpango huo anakosolewa mno kwani kila kitu kiliharibiwa na Sarah ambaye waraka wake juu ya kuachana na Harmo kupitia ukurasa wake wa Instagram ulijaa walakini mwingi kwamba aliandikiwa.
Katika uzinduzi wa albamu ya Afro East uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, Sarah alivaa a gauni lenye mpasuo mkubwa huku kifuani likiachia sehemu kubwa ya na kusababisha matiti yake kuonekana jambo lililowafanya wengi kupigwa na butwaa.
Hakuishia hapo, kwani jana kupitia tena kwenye ukurasa wa mtandao wa Instagram mwanadada huyo raia wa Italia, alitangaza kumtema rasmi mwimbaji huyo ambapo maelezo yake aliyambatanisha na picha wakiwa katika pozi la kimahaba na Harmonize na kuandika;
Aliongeza Sarah kwamba muda mwingi amegundua mkali huyo wa wimbo wa Uno kwamba ni ni muongo na bandia kwa kila kitu kwani amepitia mengi kwenye haya mahusiano na kama akiviweka vyote mtandaoni kila mtu atashangaa sababu ana sura tofauti kabisa na siku zote anavaa kinyago usoni pake.
Sina hata maneno mengi yakusema kwa sasa , hujawahi kushukuru hata siku moja kwani niliyokufanyia na sasa umechelewa, maisha yatakufundisha somo ambalo unastahili kwa vitu vyote ulivyonifanyia na kwasasa nitazingatia maisha yangu.
Ambapo Sarah alimtaka Wolper aache kumtumia Meseji za kumtaka Mpenzi wake Harmonize jambo ambalo lilinkera Wolper kwani aliweka wazi kuwa akaunti yake ya Instagram ilidukuliwa hivyo hakuwa yeye aliyekuwa anatuma Meseji.
Baada ya kutangaza kuwa yeye na mpenzi wake huyo wanatarajia kupata mtoto na kuweka picha mbali mbali mtandaoni zinazomwonyesha mtoto akiwa tumboni (ultrasound), watu wamekuwa wakihoji ile mimba imeenda wapi kwani tumbo lake limezidi kuonekana dogo badala ya kukua kama wanawake wajawazito wengine.
Kwenye mahojiano aliyoyafanya na XXL ya Clouds Fm, Harmonize aliweka wazi kuwa anashukuru mchango mkubwa wa Wolper katika nyimbo yake mpya kwani amejirekodi video mbili akionekana akifurahia wimbo huo.
8d45195817