Utaweza kupata habari mbalimbali za Arusha, habari mpya kabla hazijatokea mahali pengine, kujadili mambo muhimu ya kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa mustakabali wa mkoa wa Arusha na Tanzania kwa ujumla.
Forum Wananchi, itakuwa ni jukwaa huru lenye nia ya kuelemishana na kupashana habari zaidi pia kuwafanya viongozi wa chama na wawakilishi wa chama (wabunge na madiwani) kuwajibika (accountable) katika utendaji wao na kuwatumikia wananchi.
Wachangiaji wanatakiwa na wanatarajiwa kutumia nafasi hii kwa heshima na busara. Haitarajiwi kuwaona wanachama wa jukwaa wakivunjiana heshima kwa kutukanana au kutumia maneno yasiyo na staha. Haitarajiwi habari za humu jukwaani kuwa za uzushi wala uchonganishi baina ya wanajukwaa, viongozi wa chama au serikali.
Karibuni Jukwaani.
Wananchi Forum.
louis _sk2005
unread,
Jun 16, 2011, 12:09:54 AM6/16/11
Reply to author
Sign in to reply to author
Forward
Sign in to forward
Delete
You do not have permission to delete messages in this group
Copy link
Report message
Show original message
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message