You do not have permission to delete messages in this group
Copy link
Report message
Show original message
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message
to think-tank-tea...@googlegroups.com
Wakubwa, Natumaini mmekuwa na Siku nzuri jana ya kuadhimisha miaka 49 ya uhuru wetu, 9 Desemba 1961. Waliokuwepo siku hiyo miaka hiyo jioni kabla ya kikao mtatupa flash back ilikuwaje. Mr Olumi natumaini una ya kushare na sisi, Jackline na Elifuraha dont claim kwamba mlikuwepo 1961.
Sasa wakubwa, leo jioni saa kumi na mbili tutakuwa na kikao, ambacho pamoja na mambo mengine tutaipita EVENT Plan na kuliweka vizuri suala hili la Charity walk la tarehe 18 Desemba 2010. Mr Elifuraha atashare na timu hiyo draft. Pia tutapitia schedule ya ziara/appointments atakazokuwa nazo mbunge kwa makundi mbalimbali hapa JIJINI kwa nia ya kuhamasisha ushiriki mkubwa wa wananchi.
Kikao kitakuwa saa 12:00 jioni pale kibo palace.
I thank you,
Amani.
Derick Jr Magoma.
unread,
Dec 10, 2010, 4:29:38 AM12/10/10
Reply to author
Sign in to reply to author
Forward
Sign in to forward
Delete
You do not have permission to delete messages in this group
Copy link
Report message
Show original message
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message
to think-tank-tea...@googlegroups.com
WANA WA NCHI,
Salamu,
Ni vema sana tukajipanga mapema iwezekanavyo, Kimsingi kabisa kuanzia sasa tulitakiwa tuwe tumeanza kufanya matangazo,
Mhe Mbunge aliahidi kufuatilia suala la matangazo ya Radio na Runinga, ingekuwa vema sana leo jioni tukipata taarifa ya alikofikia, ili
matangazo ya Charity Walk yaanze. (Event yote)
Ikumbukwe kwamba tunafanya kitu kikubwa sana katika Historia ya Arusha na Lazima impact yake iwe kubwa.
Tukutane Kibo Palace.
aidha nawatakia siku njema na kazi njema.
Derick Jr Magoma.
Mbweha Trails
Reiseexperte von Afrika
Wir bringen die Welt dazu, die Wunder Afrikas Zu erforschen