M4C - MTO WA MBU na NGORONGORO: 2-4 Juni 2012

4 views
Skip to first unread message

Amani Golugwa

unread,
May 29, 2012, 4:39:43 AM5/29/12
to friends-of-chadema-arusha, think-tank-team-arusha-mjini, CHADEMA ARUSHA
Wapendwa Marafiki wa CHADEMA,
Greetings!!

Napenda kuwajulisha kuwa chama kimeandaa ziara katika wilaya ya
Monduli (Mto wa Mbu) na Ngorongoro tarehe 2 hadi 4 Juni 2012.

Ziara hii ni sehemu ya mikutano ya chama ya M4C ambayo itahudhuriwa na
viongozi wa mkoa, wilaya ya monduli/ngorongoro na karatu, wabunge na
makamanda kutoka Arusha mjini na wilaya nyingine za jirani.

TAFADHALI JIUNGE NASI NA KWA PAMOJA TUWEZESHE SAFARI HII MUHIMU YENYE
NIA YA KUHAMASISHA UTAYARI WA MABADILIKO YA NCHI KATIKA MAENEO YA
UTAWALA, UCHUMI NA JAMII.

Kama utapenda kushiriki kwa kwenda kwenye Operesheni hii:
Wasiliana na Mhe Ephata Nanyaro - 0754 834 152

Tutashukuru sana kupata mchango wako wa kufanikisha Operesheni hii -
Waweza kufikisha mchango wako katika ofisi za chama zilizopo Ngarenaro
NHC House No. 8.
Unaweza pia kutuma kwa njia ya Mpesa kupitia namba 0757 755 333 (CHADEMA ARUSHA)

Ratiba:
Tarehe 2 Juni: Kuondoka Arusha SAA NNE Asubuhi (Kuanzia ofisi ya Mkoa)
Tarehe 2 Juni: Kufungua matawi na mkutano wa hadhara Mto wa Mbu.

KULALA KARATU:

Tarehe 3 Juni: Kufungua Matawi na mikutano ya hadhara
- Ngorongoro Kimba madukani (Kufungua Tawi)
- Misigiyo Centre (Kufungua Tawi)
- Endulen Madukani (Mkutano wa hadhara)
Tarehe 4 Juni: Olbalbal (Mkutano wa hadhara)

Tarehe 4 Juni: Kurudi Arusha.

Karibuni Marafiki wa CHADEMA tupeleke Movement for Change (M4C).

"For Our Country, For Our People"


Amani Golugwa
Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha.
0754 912 914.
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages