Josh
Nassari
Scholarship
Program Director
The Foundation
For Tomorrow
P. O. Box 119
Duluti-Arusha.
www.thefoundationfortomorrow.org
+255 784
225 758
Men anpil chay pa lou. (Haitian proverb)
Many hands make the load lighter.
From: Josh Nassari
[mailto:jsh.s...@gmail.com]
Sent: Thursday, February 10, 2011
12:46 PM
To: josh
Subject: Fwd: FW: BUNGE LIMETEKWA!
---------- Forwarded
message ----------
From: WILFRED ZADOCK <wilfre...@hotmail.com>
Date: 2011/2/10
Subject: FW: BUNGE LIMETEKWA!
To: Max M <maxm...@yahoo.com>,
Josh Nassary <jsh.s...@gmail.com>
Subject: BUNGE LIMETEKWA!
Date: Thu, 10 Feb 2011 11:06:07 +0300
From: JLy...@serena.co.tz
To: minja...@yahoo.com;
leonc...@yahoo.com;
gift...@serena.co.tz;
wilfre...@hotmail.com;
ize...@yahoo.com.au; uluvm...@yahoo.com
Kutokana na mambo ambayo leo yametokea mjini Dododma ni dhahiri kuwa
kumekuwa na mapinduzi ya wazi ya kuliteka Bunge letu na kuanzia sasa
litakuwa halina nguvu tena za kuwawajibisha mafisadi wala hakutakuwa na
mtu wa kuzungumza lolote juu ya Mafisadi na ufisadi.
Nayasema haya kutokana na mambo yafuatayo;
1. Uchaguzi wa wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge ni kama
ifuatavyo;
(i) Mwenyekiti wa kamati ya fedha na uchumi ni Abdallah Kigoda
(ii) Mwenyekiti wa kamati ya katiba, sheria na utawala ni Pindi Chana
(iii) Mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje, Ulinzi na Usalama ni Edward Nyoyai Lowassa
(iv) Mwenyekiti wa kamati ya huduma za jamii ni Magreth Sitta
(v) Mwenyekiti wa kamati ya maendeleo ya jamii ni Jenista Mhagama
(vi) Mwenyekiti wa kamati ya ardhi, maliasili na mazingira ni ………….
(vii) Mwenyekiti wa kamati ya kilimo,mifugo na maji ni Prof.David Mwakyusa
(viii) Mwenyekiti wa kamati ya Miundombinu ni Peter Serukamba.
(ix Mwenyekiti kamati ya hesabu za za serikali za mitaa ni Augustino Mrema.
(x) Mwenyekiti wa kamati ya hesabu za mashirika ya umma ni Zitto Kabwe
(xi) Mwenyekiti wa kamati ya heswabu za serikali ni John Momose Cheyo.
(xii)Mwenyekiti wa kamati ya viwanda na Biashara ni Mahamoud
(xiii) Mwenyekiti wa kamati ya nishati na madini ni January Makamba.
Baada ya kuwaangalia wenyeviti hao ni kuwa kamati ya uongozi ya Bunge huwa
ina wajumbe ambao ni wenyeviti wote kamati za kudumu pamoja na wafuatao;
(i) Spika – Anne Makinda
(ii) Naibu Spika- Job Ndugai
(iii) Kiongozi wa Upinzani- Freeman Mbowe.
(iv) Mwanasheria Mkuu wa Serikali - Fredrick Werema
(v) Waziri wa Nchi Bunge na uratibu - Willium Lukuvi.
Hivyo basi utaona kuwa kamati ya uongozi ya Bunge ambayo ina wajumbe 18 .
Kazi za kamati ya uongozi ya Bunge ni;
(i) Kuendesha bunge siku hadi siku
(ii) Kuamua ni hoja gani zipelekwe Bungeni kujadiliwa
(iii) Kuamua nini kifanywe na Bunge na nini kisifanywe na Spika huwa ni
msemaji wake wakishaamua .
Hivyo basi kati ya wajumbe 18 wa kamati ya uongozi ambayo kimsingi ndio
Bunge lenyewe utaona kuwa Edward Lowassa amejigeuza na kuwa yeye ndiiye
atakuwa anafanya maamuzi yote ndani ya Bunge na kuamua lipi lifanyike na
lipi lisifanyike kwani wajumbe 13 wanamuunga mkono yeye ama ni watu wake.
hao ni pamoja na ;
(i) Lowassa
(ii) Cheyo
(iii) Serukamba
(iv) January
(v) Pindi Chana
(vi) Jenister
(vii) Mrema
(viii) Zitto
(ix) Makinda
(x) Ndugai
(xi Lukuvi
(xii) Werema
(xiii) Mahamoud – huyu ni mbunge wa Kilwa Kasikazini.
Hivyo utaona jinsi Bunge lilivyotekwa. Lowassa ataweza kufanya yafuatayo;
(i) Kumuita Membe na kumpa maelekezo ya kibunge
(ii) Kumuita Sitta na kumpa maelekezo
(iii) Kuita upya hoja ya Richmond
kupitia January
(iv) Kumuita Magufuli na Mwakyembe kupitia Serukamba
(v) Kumuita IGP, DG-TIS kumpa briefing kama
mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama.
Hivyo hii inaonyesha kuwa tutakuwa na Bunge la kumi la aina gani.
Yafaa kila mmoja akatafakari na kuchukua hatua nini kifuate baada ya hapo.

No
virus found in this incoming message.
Checked by AVG - www.avg.com
Version: 9.0.872 / Virus Database: 271.1.1/3433 - Release Date: 02/09/11
22:34:00