CHARITY WALK : 18 DESEMBA 2010

3 views
Skip to first unread message

Amani Golugwa

unread,
Dec 8, 2010, 10:41:43 AM12/8/10
to think-tank-tea...@googlegroups.com
Wapendwa,
Napenda kuwajulisha kuhusu mabadiliko ya terehe ya kuwafanya yale matembezi ya hisani ya kuchangia Elimu. Tarehe tuliyoitaja hapo awali, itaaingiliana na ziara ya Mhe Rais JKikwete ambapo atakuwa Arusha kwa ajili ya uzinduzi wa Hotel ya Mount Meru. Sasa mimi, Mr Elifuraha na Mhe Mbunge tulilitafakari na kuona itakuwa vema tuisogeze mbele iwe tarehe 18 Desemba siku ya jumamosi.

Maandalizi mengine yanaendelea kama kawaida na soon ADVERT zetu zitakuwa up kwa kuhamasisha juu ya matembezi hayo na mpango huu wa kusaidia watoto 500 - 1,000. Mhe Mbunge kwa vile unakutana na wabunge leo na kesho, jitahidi tupate confirmation za ushiriki wao, ili katika advert zetu tuwataje.

Mbarikiwe sana kwa commitment yenu,

Mr Elifuraha, anaandaa EVENT PLAN (Charity walk) halafu atashare na sisi wote.

Amani.

hangi donald kiloba

unread,
Dec 10, 2010, 3:04:33 AM12/10/10
to Mbunge Changamoto
 
Amani,
 
Asante kwa hili hata mimi nilikuwa natafakari pia mbunge nilimjulisha.
Ningependekeza huo utaratibu wa charity ufanyiwe kazi mapema ikiwa ni pamoja na
Utaratibu wa kualikwa watu kwa charity
Kama kuna Kadi za wageni
Public adress kwa magari mjini
kupitia mashule na taasisi zetu tulizo nazo na mengineyo kama taratibu za carity zilivyo.
 
Nisahihishe maana sijui taratibu za charity ila naweza kuwa sehemu yake kiutekelezaji. Elimu ni muhimu kwa vijana.
 

Date: Wed, 8 Dec 2010 18:41:43 +0300
Subject: CHARITY WALK : 18 DESEMBA 2010
From: gol...@gmail.com
To: think-tank-tea...@googlegroups.com
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages