Heri ya Mwaka mpya wa 2012.
Leo nilikuwa naisoma hii miniti ya tarehe 26 November 2010 kuhusiana
na kikao ambacho kiliweka mambo ambayo ArDF itayafanya kwa kipindi cha
miaka 5.
Hebu tuyatazame kwa upya na kuona namna ambavyo tunaweza kufufua
spirit ile iliyokuwepo.
Mpaka sasa tumefanikiwa kutimiza mambo 3 makubwa yaliyokuwepo katika
mpango wa muda mfupi.
1. Tumeweza kuanzisha na kusajili TAASISI rasmi ya Arusha Development
Foundation (ArDF).
2. Tumeweza kuanzisha mpango maalumu wa kusomesha watoto wasiojiweza.
Mpaka sasa watoto wasiopungua 400 wanasomeshwa na mwaka huu wanaingia
kidato cha pili.
3. Tumefanikiwa kupata kiwanja hekari 4 maeneo ya Burka kwa ajili ya
kujenga hospitali ya wanawake na watoto (Ipo rasmi kabisa na uwanja
tumekabidhiwa)
Mwenyekiti Mhe Mtowe: Napendekeza kabla mhe mbunge hajaenda bungeni
katikati ya mwezi huu tukutane na tufufue juhudi hizi nzuri ambazo kwa
kipindi tuliziacha na mbunge kujikuta anakimbizana nazo mwenyewe.
All the best,
Amani Golugwa
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu.
JN.
Josh Nassari
Scholarship Program Director
The Foundation For Tomorrow
P. O. Box 119, Duluti - Arusha.
www.thefoundationfortomorrow.org
> <TAARIFA YA KIKAO CHA TAREHE 26 NOVEMBA 2010.doc>
--- On Tue, 1/10/12, Amani Golugwa <gol...@eannaso.org> wrote: