Hangi na Think Tank Team,
Heri ya Krsimasi wapendwaThink Tank/ArDF,
Kwa kweli Hangi asante kwa kutusaidia kuisamaraizi kitaalamu zaidi. I acknowledge kazi kubwa na nzuri uliyoifanya.
Sasa wakubwa, kama tulivyokubaliana katika kikao chetu cha mwisho pale mount meru hotel kuwa tuchangamke sana kwa ajili ya kupata zile ahadi ili azimio la kuwezesha watoto kwenda shule liweze kufikiwa.
Hangi ameanisha fedha ambazo ziko due, nawaomba wahusika waliowakaribisha watu hao wafanye follow up ili fedha zipatikane.
Maazimio ya Kikao cha mwisho ilikuwa ni:
1. Ufuatiliaji wa ahadi ufanyike kwa nguvu na fedha akabidhiwe Hangi Kiloba na yeye ataziweka kwenyw akaunti ya mfuko huu maalumu iliyopo BOA Bank: Arusha Development Foundation A/C No.
2525100008.
2. Mama Catherine Kowero na Joshua Nassari waandae mpango wa kupata hao watoto na watoto wapatikane kwa vigezo na namna ilivyoaninshwa na kamati.
3. Mhe. Lema na Kimbele watafuatilia ofisi maalumu kwa ajili ya uratibu wa shughuli na katika kikao kijacho watatupa ripoti.
4. Mr Elifuraha Mtowe, Mama Kowero wataratibu mpango wa ArDF kutengenea 2 years strategic plan na katika kikao kijacho watatupatia the howkatika kutengeneza SP hiyo.
5. Katika kikao hicho, wajumbe waliridhia wazo la Ms Helen Meshack kuhusu mbunge kutoa chakula na zawadi kwa vituo vya watoto yatima. Mr. Kimbele na Joshua Nasaari walilisimamia jambo hilo na mbunge alitoa chakula (Mchele, mbuzi, mafuta ya kupikia na vitu vingine) kwa vituo vitatu vya watoto yatima.
6. Kamati ya fedha iliamuliwa atakuwa ni Hangi Kiloba na Mhe. Joyce Mukya (MP) na kuwa fedha zote watakabidhiwa wao.
INAPENDEKEZWA TUKUTANE TAREHE 29 DESEMBA 2010, MOUNT MERU HOTEL ILI KUJIWEKA SAWA NA MPANGO WA DONATION BOX NA UWEZESHAJI WA WATOTO KWENDA SHULE.
Nawatakia mapumziko mema ya mwishoni mwa mwaka.
NB: Tafadahali tupitie kwa makini attachment aliyotuma Hangi na kila mmoja afuatilie watu wake ambao ahadi zao zipo due, ili ikiwezekana kesho tukiwa na kikao kila mtu aje nazo.
Mr Mtowe unaweza kuturemind kwa sms.
Amani.
---------- Forwarded message ----------
From:
hangi donald kiloba <hangi...@hotmail.com>
Date: 2010/12/23
To: Mbunge Changamoto <
think-tank-tea...@googlegroups.com>
Wajumbe na viongozi,
Nimeattach majina na fundrising kwa ajili ya follow up kwa priority ya muda na perfomance.
Tafadhali tusaidiane kufuatilia na kila mtu amtambue mtu wake kama ilivyoonekana pale na
tufuatilie kwa periods zilivyoonyeshwa usikimbilie January wakati dec bado.
December nimeigawa mara mbili
Before 30.12.2010 na after 30.12.2101 itaangukia Jan.
Nitatuma list pia kwa kila kampuni like Mt Meru hotels na nyingine msuggest ili kumpa mtu mmoja.
Naomba mawazo baada ya kusoma list hapo juu.
Vitabu vya risit viko kwenye process, nitarudi tena na taarifa yake.
Hangi Kiloba
Date: Wed, 22 Dec 2010 12:59:00 +0300
Subject: Re: HON. GODBLESS LEMA (MP) - NAP EAR CONFERENCE
From:
jackie...@gmail.com