You do not have permission to delete messages in this group
Copy link
Report message
Show original message
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message
to in...@chademaarusha.com
Waheshimiwa viongozi na wapenzi wa CHADEMA, Napenda kuwajulisha kuwa UONGOZI wa CHADEMA Mkoa wa ARUSHA umeanzisha rasmi tovuti ya CHAMA ya mkoa wa Arusha, www.chademaarusha.com
Lengo la msingi ni kuwawezesha wana chadema, wapenzi na wakazi wa mkoa Arusha kuweza kupata habari mbalimbali za CHAMA chao wanachokipenda zikiwa fresh na kama zilivyokusudiwa kuwafikia. Tovuti hii itawaunganisha watumiaji wa mtandao ambao ni wakazi wa Arusha/wanachadema na wenzao walio duniani kote ili kwa pamoja (synergy) kushiriki katika SIASA za MKOA wao wa Arusha na Tanzania kwa ujumla na pia kuchangia MAENDELEO katika kuijenga Arusha na Tanzania wanayoitaka.
Mambo maalumu katika tovuti hii/Special features;
1. Tumeanzisha Online TV (chademaarusha.TV) ambayo itarusha video za matukio mbalimbali ya CHAMA/Ziara za viongozi/wabunge na madiwani wa chama, hotuba za viongozi na mambo mengine mengi.
2. Kutakuwa na "Exclusive interviews"/Mahojiano maalumu na watu maalumu ambayo kimsingi hayatapatikana pengine isipokuwa "Only on chademaarusha.TV".
3. Tovuti hii itakuwa ni "Mahali Rasmi" pa kuonyesha kwa jamii utendaji kazi wa wabunge wa Arusha na madiwani kwa kuonyesha na kuelezea shughuli wanazozifanya katika kutekeleza ahadi zao kwa wananchi.
4. Tovuti itakuwa na link ya moja kwa moja kwenye Facebook na Twitter (Mitandao ya kijamii). Kwa njia hii tutaweza kuifanya tovuti iwe interactive. Hii feature itaruhusu kumtumia kila member wa facebook na Twitter (Chadema Arusha) alert kila mara tunatuma habari mpya kwenye TV hasa exclusive interviews.
5. Ni nia ya chama kuifanya Tovuti iwe information centre kwenye mambo ya msingi: Kama Demokrasia, Maendeleo, siasa, utawala bora (good governance), haki, Jamii, Uchumi, Utalii wa katika Nothern circuit/Arusha, uwekezaji Arusha na mengine mengi.
Nitashukuru kwa maoni yenu ili kuboresha tovuti yetu.
I Thank you!
Amani SG KATIBU WA MKOA wa Arusha - CHADEMA.
louis _sk2005
unread,
May 18, 2011, 4:12:45 AM5/18/11
Reply to author
Sign in to reply to author
Forward
Sign in to forward
Delete
You do not have permission to delete messages in this group
Copy link
Report message
Show original message
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message
to think-tank-tea...@googlegroups.com
Kaka big up kubwa of what u did to da party,we need people like you who can do such big things.i salut you sir.KIMBELE
Elifuraha Mtowe
unread,
May 18, 2011, 10:06:49 AM5/18/11
Reply to author
Sign in to reply to author
Forward
Sign in to forward
Delete
You do not have permission to delete messages in this group
Copy link
Report message
Show original message
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message