Wajumbe na viongozi,
Nimeattach majina na fundrising kwa ajili ya follow up kwa priority ya muda na perfomance.
Tafadhali tusaidiane kufuatilia na kila mtu amtambue mtu wake kama ilivyoonekana pale na
tufuatilie kwa periods zilivyoonyeshwa usikimbilie January wakati dec bado.
December nimeigawa mara mbili
Before 30.12.2010 na after 30.12.2101 itaangukia Jan.
Nitatuma list pia kwa kila kampuni like Mt Meru hotels na nyingine msuggest ili kumpa mtu mmoja.
Naomba mawazo baada ya kusoma list hapo juu.
Vitabu vya risit viko kwenye process, nitarudi tena na taarifa yake.
Hangi Kiloba
Date: Wed, 22 Dec 2010 12:59:00 +0300
Subject: Re: HON. GODBLESS LEMA (MP) - NAP EAR CONFERENCE
From:
jackie...@gmail.comTo:
think-tank-tea...@googlegroups.com