Taarifa ya Kikao 02 Desemba 2010

1 view
Skip to first unread message

Amani Golugwa

unread,
Dec 3, 2010, 4:37:14 AM12/3/10
to think-tank-tea...@googlegroups.com
Waheshimiwa,
Ofisi ya Mbunge inawashukuru wote mlioweza kufika kwenye kikao cha tarehe 2 Desemba 2010 pale KIBO PALACE.

Ninashukuru kwa majadiliano yaliyokuwepo ambayo kimsingi yalionyesha udhati katika kufikia azma ya kuiona Ausha tunayoitaka.

Naomba niwatumie taarifa ya maazimio ya kikao cha jana na mambo yenye kuhitaji utekelezaji (Action Point):

1.1: Mhe. Godbless Lema (MB) na Mhe. Joyce Mukya (MB), walitoa ripoti ya ufuatiliaji wa kiwanja cha ujenzi wa Hospitali ya wanawake na Watoto. walionana na Mr Alex Rechs (Burka Coffee estate) na kimsingi katia mazungumzi ya awali amekubali kuwa atatoa kiwanja. Barua rasmi imeshawsilishwa na majibu rasmi yanasubiriwa. Kamati ilifurahishwa na hatua hiyo kubwa iliyofikiwa.

1.2: Mhe. Lema (MB), aliwashirikisha wajumbe wazo la kuanzisha mpango wa kuwasaidia wazazi wenye uhitaji ambao watoto wao wanatakiwa kwenda shuleni januari 2011. Charity walk - Kuwawezesha watoto kwenda shuleni.


Wajumbe walilichambua suala hili na baada ya kujiridhisha iliamuliwa kuwa:
Mpango huu wa utafanyika tarehe 17 Desemba 2010, Ijumaa.

Mgawanyo wa majukumu ni kama ifuatavyo:

1. Kuandaa mfumo wa fedha na utawala
wajumbe:
Elifuraha Mtowe
Jackline Mkindi
Mr Kimbele
First draft iwe shared kwa wajumbe saturday 4 Desemba 2010 (email)

2. Kuandaa donation box/partnership
wajumbe
Mhe. Lema (MB)
Mhe. Joyce (MB)
Mr. Nassari

3. Media/Matangazo
Wajumbe
Mhe. Rebeca (MB)
Elifuraha Mtowe
Mr Kimbele
Mhe. Lema

Targeted Media
TBC 1, ITV, Clouds fm, Tripple A, Radio 5, safina fm, Mwananchi, Tanzania Daima, Nipashe, Channel ten, Arusha mambo, Arusha mailing mlist, Michuzi Blog, Jamii forms, Fliers/Posters, Flags & banners.

4. Branding - Charity Walk, "Your small change can make a Big difference, Donate for a Kid"
wajumbe
Mhe. Lema
Elifuraha

5. Legal Implications
CDF A/C
Amani SG


6. Mfumo wa Kupata watoto wenye uhitaji
wajumbe
Mama kuwelo
Amani SG
Mhe. Nanyaro

First Press conference kuelezea azma hii itafanyika tarehe 6 Novemba 2010.

TAARIFA RASMI (MINITES) zitafuata katika kikao kitakachofuata.

Nimeattach doc yenye wazo la mpango huo wa charity walk.

have a nice day.

Amani SG.




Charity walk.doc

ar_o...@hotmail.com

unread,
Dec 3, 2010, 2:21:17 PM12/3/10
to think-tank-tea...@googlegroups.com
Amani,


Nashukuru kwa updates. Niasafiri kwa wiki moja. Lakini nitashiriki katika mpango wa 'Let the go to school' nitakapokuwa nimerudi. A R Olomi.

Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom


From: Amani Golugwa <gol...@gmail.com>
Date: Fri, 3 Dec 2010 12:37:14 +0300
Subject: Taarifa ya Kikao 02 Desemba 2010

louis _sk2005

unread,
Dec 4, 2010, 5:10:50 AM12/4/10
to think-tank-tea...@googlegroups.com
Habri za leo,mbona hiyo attachment siioni?


From: "ar_o...@hotmail.com" <ar_o...@hotmail.com>
To: think-tank-tea...@googlegroups.com
Sent: Fri, December 3, 2010 10:21:17 PM
Subject: Re: Taarifa ya Kikao 02 Desemba 2010

hellen emesh

unread,
Dec 8, 2010, 1:50:27 AM12/8/10
to think-tank-tea...@googlegroups.com
Hello Amani
SAmahani nimekuwa siwezi kufika kwenye vikao kutokana na majukumu.
 
Sasa kwenye hii Child Registration form lazima kuwe na sehemu ionyeshe vitu vfuatavyo
 
1 WAKATI WA USAILI LAZIMA MZAZI AJE NA CHETI ORIGINAL CHA KUZALIWA.
ILA KOPI AIMBATANISHE
 
2 IKIWA MTOTO HANA WAZAZI (YAANI WAMEKUFA) LAZIMA WAAMBATISHE DEATH COPY ZA DEATH CERTIFICATE (kwa sababu kunaweza kuwa na udanganyifu) AU KUWE NA UTHIBITISHO WOWOTE ULIO SAHIHI
 
3 LAZIMA KUWE NA KITHIBITISHO CHOCHOTE CHA WALEZI KUONYESHA WAO NI WATANZANIA..
 
4 LAZIMA KUWA NA TIMU YA KWENDA KUKAGUA/AU KUTHIBITISHA MAKAZI YA WAOMBAJI. ( ikiwa tutafanikiwa, watu wanaweza kujipenyeza kutoka mikoa ya karibu, hii inaweza kuharibu maana yote kwa walengwa wa hili zoezi kwa jimbo la Arusha Mjini).
 
Thanks
Hellen

--- On Fri, 12/3/10, Amani Golugwa <gol...@gmail.com> wrote:

From: Amani Golugwa <gol...@gmail.com>
Subject: Taarifa ya Kikao 02 Desemba 2010

Amani Golugwa

unread,
Dec 8, 2010, 10:08:53 AM12/8/10
to think-tank-tea...@googlegroups.com
Hi Helen,
Asante kwa comment nzuri. Nassari yupo copied kwenye hii email na yeye ndio tulimpa task ya kureview hii doc kwa hiyo ataweka hizo comments.

Amani

2010/12/8 hellen emesh <hell...@yahoo.com>



--
Amani S. Golugwa
Finance & Administration Officer
EANNASO
P O Box 6187
Arusha, Tanzania
Tel: +255 27 254 9525
Fax: +255 27 254 9524
Mobile: +255 754 912914
Email: gol...@eannaso.org
www.eannaso.org

Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages