TAARIFA YA NDANI YA CHAMA - KUONGEZA MUDA WA KUCHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA UONGOZI WA KANDA YA KASKAZINI
SALAAM...!
KIkao cha Kamati KUU kilichoketi tarehe 23/24 Julai 2016, kimetoa maelekezo ya kuongeza muda wa kuchukua fomu za kugombea nafasi za uongozi wa kanda hadi tarehe 15 AGOSTI 2016, SAA KUMI NA NUSU JIONI.
HIVYO... Nichukue fursa hii kuwatangazia Wanachama Wote WA CHADEMA kuwa, kutakuwa na uchaguzi wa ndani ya chama wa nafasi za Uongozi wa Kanda ya Kaskazini. Uchaguzi huu utafanyika ili kutekeleza azimio la Baraza Kuu kuwa kanda zote nchini zifanye uchaguzi wa nafasi zifuatazo za Uongozi wa Kanda;
1. Mwenyekiti wa Kanda