Barua kwa Wadau: Tarehe 26 na 27 Oktoba 2013

3 views
Skip to first unread message

Amani Golugwa

unread,
Oct 15, 2013, 9:46:02 AM10/15/13
to
Dear All,
Pokeeni barua ya mwaliko kwa wadau kwenye mkutano wa tarehe 26 na 27 Oktoba 2013.
 
Waheshimiwa Viongozi wa Mikoa, Majimbo, Wabunge na Madiwani, taarifa ya mkutano huu wa wadau naomba ifike kwa watu wote wa muhimu kwenye mkoa wako ama jimbo lako.
 
Nawatakia utendaji mwema katika kuhakikisha kuwa siku ya tukio unakuja na wadau kutoka kwenye mkoa na jimbo lako.
 
With Thanks,
 
AMani Golugwa
Katibu - Kanda. 
BARUA KWA WADAU 15 OKTOBA 2013.pdf
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages