CHADEMA: Movement 4 CHANGE: LIVE on STAR TV 23 Machi: Saa 2 hadi Saa 4 Usiku

3 views
Skip to first unread message

Amani Golugwa

unread,
Mar 19, 2012, 5:00:57 AM3/19/12
to friends-of-chadema-arusha, think-tank-team-arusha-mjini, maingumwigamba, Cecilian Ndossi
Wapendwa Friends of CHADEMA (Friends of Justice),

Napenda kuwajulisha kuwa IJUMAA ya tarehe 23 Machi 2012, katika hotel
ya NAURA SPRINGS hapa Arusha kutakuwa na Hafla maalumu ya marafiki wa
chadema itakayoongozwa na Mhe Freeman Mbowe (MB), Katibu Mkuu Dr W
Slaa na wabunge wa CHADEMA.

Hafla hii itarushwa LIVE NA STAR TV kuanzia SAA 2 usiku hadi SAA 4
Usiku (MASAA MAWILI).

Lengo la hafla hii ni kutoa nafasi kwa Watanzania kukiwezesha chama
chao wanachokipenda (CHADEMA Tumanini Jipya) katika kuendelea kufanya
harakati na kazi za kuleta mabadiliko katika Tanzania yetu.

Watanzania wtapata nafasi ya kushiriki kuchangia kwa NJIA YA MPESA,
KUWEKA AHADI LIVE KUPITIA STAR TV na nyngine nyingi. Hivyo ni vyema
taarifa ya tukio hili ikafika wa watanzania wengi kadiri tuwezavyo ili
wajiandae muda huo kuchangia chama chao.

KADI ZA KUHUDHURIA HAFLA HII ZINAPATIKANA:

Tafadhali wasaliana nasi ili uweze kupata kadi yako;

Minimum Seat Cover charge ni Tshs 200,000 (Mchango wako kwa chama
kwwenye kadi hii)

Mr Amani Golugwa - 0754 912 914
Mr Elifuraha Mtowe - 0754 170 077

Rafiki wa chadema usikose tukio hili muhimu sana kwa chama na kwa mkoa
wa Arusha.

Amani.sg
Katibu wa Mkoa - Arusha.

Amani Golugwa

unread,
Mar 19, 2012, 5:04:12 AM3/19/12
to friends-of-chadema-arusha, think-tank-team-arusha-mjini, maingumwigamba, Cecilian Ndossi
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages