Scholarships

11 views
Skip to first unread message

Masoud Mahundi

unread,
Apr 11, 2009, 1:40:45 PM4/11/09
to Fundamental Group
Asalamu Aleykum
Wakati watu wakilifikiria suala la Mrusi, lau kwa hadhari kama ilivyohadharishwa na Sheikh wetu, Abuu Shamaqmaq Bulbul
Tutazame na hizi scholaships nazo za New Zealand
Madam Tatu kama una cha kuongeza utakuwa umetusaidia
Zimetumwa kwenye mailing List ya wafanya kazi wa UDSM
 
Masoud H. Mahundi
Department of Computer Science
University of Dar es Salaam
P.O Box 35062
Tel 255 22 410500 - 8 (or through ext 2466)
Mobile: +255 71 5258337 / +255 78 7258337
DUP Building - First Floor, Room No 206


New zealand scholarship for all.pdf

Tatu Mikidadi

unread,
Apr 11, 2009, 5:43:40 PM4/11/09
to The Fundamentals

Salaam alaykum ndugu zangu katika emaan,

 

kuongezea kwenye post ya kaka Mahundi, kuhusu Scholarship za New Zealand...

 

Taratibu za maombi ya udhamini chini ya serikali ya New Zealand yana tofauti kidogo na Australia. Japo vipo vipengele vinavyofanana, hivyo basi nitaelezea hii ya Australia ambayo ninaifahamu. Na yenyewe karibuni itatangazwa kupitia tovuti hii: http://www.adsafrica.com.au/countryinfo/tanzania.php

 

Kawaida maombi ya scholarship kwa ajili ya Public (yaani, wale wanaofanyakazi serikalini au katika mashirika ya umma) hupitia Idara kuu ya Utumishi (President’s Office-Public Service Management). Baada ya Utumishi kukusanya maombi hayo, hufanya shortlist ambayo hufuatiwa na usaili. Hapa Utumishi inakuwa ni kiungo baina ya Tanzania na ofisi za Serikali dhamini ambazo kwa bara letu zipo Afrika Kusini. Na inakuwa bado hujachagua chuo tofauti na ya New Zealand, inahitaji anayetuma maombi kupata admission katika chuo kimojawapo kilichopo kwenye orodha yao na maeneo ya kusomea pia yametajwa, la kuzingatia ni tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ya vyuo hivyo.

 

Nimepitia tovuti ya Utumishi kuangalia kama wameweka tangazo kuhusu Scholarship ya New Zealand, sijaliona. Tovuti yao ni: www.estabs.go.tz, tovuti hii pia huwekwa matangazo mbalimbali kama vile nafasi za kazi pamoja na scholarship za nchi tofauti tofauti. Kwahivyo pia ni vyema, tukiwa na tabia ya kupitia kila baada ya kipindi Fulani ili kupata taarifa hizi muhimu.

 

Aidha, kabla ya kutuma maombi ya Scholarship hii ya New Zealand ni vyema kuwasiliana na idara ya mafunzo, ofisi za utumishi kujua kama mlolongo unafanana kisha kuendelea na hatua zinazofuata. Na kama utumishi hawana taarifa na udhamini huu, basi utatuma maombi kufuatana na maelezo yaliyotumwa kwetu na bwana Mahundi.

 

Al muhim kuzingatia deadline na kuhakikisha vitu vilivyotajwa kwenye tangazo lao vyote vipo intact. Ikiwa ni pamoja na vyeti vyote viwe certified, pia huwa wanasisitiza matokeo ya test of English language proficiency. Ni vyema test hii ikifanywa mapema, kwenye tangazo lao wameainisha wanataka IELTS kutoka kwa watanzania. Mitihani hii hufanyika kwenye kituo cha British council, nafkiri pia wanatoa mafunzo jinsi ya kufaulu. Tafadhali pitia tovuti yao kwa maelezo zaidi: http://www.britishcouncil.org/africa-tz-ielts.htm

 

Natumai maelezo haya yatatoa muongozo, inshaallah kama kuna swali pia nitafurahi kulijibu likiwa lipo ndani ya uwezo wangu.

 

Maa’salaam,

 

Tatu. 


Date: Sat, 11 Apr 2009 10:40:45 -0700
From: mmahu...@yahoo.com
Subject: [The Fundametals:137] Scholarships
To: the-fund...@googlegroups.com

More than mail–Windows Live™ goes way beyond your inbox. More than messages

Masoud Mahundi

unread,
Apr 13, 2009, 10:58:34 AM4/13/09
to the-fund...@googlegroups.com
Waalekumus-salaam Madame
Naamini haya ni maelezo ya kina sana. InshaAllah naamini wanaohitaji watafuatilia, lau hata kuwatumia hizi taarifa waumini wengine, wasio member wa kundi hili
Ahsante sana
MM

 
Masoud H. Mahundi
Department of Computer Science
University of Dar es Salaam
P.O Box 35062
Tel 255 22 410500 - 8 (or through ext 2466)
Mobile: +255 71 5258337 / +255 78 7258337
DUP Building - First Floor, Room No 206



From: Tatu Mikidadi <bibi...@hotmail.com>
To: The Fundamentals <the-fund...@googlegroups.com>
Sent: Sunday, April 12, 2009 12:43:40 AM
Subject: [The Fundametals:138] Re: Scholarships

Rashid Khamis

unread,
Apr 13, 2009, 12:20:41 PM4/13/09
to The Fundamentalists
Dear Mr mahundi,
Wa aleykum salaam, wa Rahmatu Llah Wabarakaatuh. (Kuna mkristo mmoja wa Bara haya maakizi yalimshitua katika hii sehemu inayosema "Wabarakaatuh" na aliuliza "Mbona mnasema sisi wa Bara tukae tu?) na ikabidi apewe maana yake ndio akatulia- hii ni joke tu. Lakini wallahi Mr. Mahundi wewe umeepukana na wale ambao wametajwa na M/Mungu katika Kuran "..........wa idhaa massahu l-khayru manu'a" - Watu ambao wakipata kheri wanazizuilia (zisiwafikie wengine).
 
Hivyo tumeziona hizi scholarships na hii sio mara ya mwanzo kwako ku share vitu kama hivi kwa wenzako. Mungu akulipe kwa haya na akupe imani hii zaidi (pamoja na sisi) - kama alivyostukia mara moja katika hotuba zake marehemu Dr Omar Ali Juma alipokuwa akimsifu kiongozi mwenzake kwa kusema "Hakika yeye ni Muislamu wa kweli kweli" na baada ya kuendelea na maneno mengine alisema "Na mimi ni muislamu wa kweli vile vile" na kuwafanya watu wacheke kwa vile alivyofikiria kuwa watu pale wangefikiria kuwa yeye si muislamu wa kweli kweli.
Ahsante sana,
Rashid.

 

Date: Sat, 11 Apr 2009 10:40:45 -0700
From: mmahu...@yahoo.com
Subject: [The Fundametals:137] Scholarships
To: the-fund...@googlegroups.com

ZEYANA HAMID

unread,
Apr 13, 2009, 3:50:17 PM4/13/09
to the-fund...@googlegroups.com
hhahhahhhaa!
bwana Rashid unanipa hamu ya kukujua...
 
Zeyana Abdallah Hamid
Msc Health Informatics-Candidate
University of Missouri-Columbia MO
+17853933875



From: Rashid Khamis <rashid...@hotmail.com>
To: The Fundamentalists <the-fund...@googlegroups.com>
Sent: Monday, April 13, 2009 11:20:41 AM
Subject: [The Fundametals:140] Re: Scholarships

Rashid Khamis

unread,
Apr 14, 2009, 12:46:48 PM4/14/09
to The Fundamentalists
Hiiiiiiiii Bi Zeyyaaana,
Mbona naona unanijua? Au mara hii tu ushanisahau? Basi mi ni yule yule wa paleeee ulipokuwepo na ukaondoka kwa yuleee bosi wako mlie mkipendana saaaana kama Bush na Saddam (HMIS)
Ahsante,
Rashid.
 

Date: Mon, 13 Apr 2009 12:50:17 -0700
From: zeya...@yahoo.com
Subject: [The Fundametals:141] Re: Scholarships
To: the-fund...@googlegroups.com
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages