----- Forwarded Message ----
From: Haruna Mbeyu <harun...@yahoo.co.uk>
To: AHMED JUMA(ms) <alba...@gmail.com>; abdallah mohammed <aada...@yahoo.co.uk>; ABDALLAH SAGINI(ms) <sag...@yahoo.com>; ABDALLAH KATUNZI(ms) <abdalla...@yahoo.com>; Abdul
Zeddy <binabda...@yahoo.com>; Abeid <abe...@hotmail.com>; abubakar mwinyi <drmw...@yahoo.com>; al huda huda <hudae...@hotmail.com>; alawi(ms) <ala...@gmail.com>; Ally Kilima <aki...@yahoo.com>; Amour Chamani <abach...@yahoo.com>; ASINA OMARI(ms) <asina...@googlemail.com>; Hersi Adan <sirh...@gmail.com>; hatibu ame <hati...@hotmail.com>; s a <yasi...@yahoo.co.uk>; Suluo <ajs...@yahoo.co.uk>; daima bukini <dbuki...@yahoo.com>; fatma bakari <bakari...@yahoo.com>; said yakub <bin_...@hotmail.com>; SITI BADI <siti...@yahoo.com>; shani christom <sh...@bakhresa.com>; Dau <da...@yahoo.com>; SHAMIM DAUDI <sdmw...@yahoo.com>; Fatmah Khamis <fatmah...@yahoo.com>; jumanne fundikira <je...@yahoo.com>; HAJI RUBIBI <hru...@gmail.com>; HAMISI MKUNGA <mkung...@yahoo.com>; HAMZA NJOZI
<hamz...@yahoo.com>; HASHIM SAIBOKO(ms) <sai...@yahoo.com>; HAWRA ShAMTE <hsh...@mwananchi.co.tz>; zeyana hamid <zeya...@yahoo.com>; Idda Romore <iddar...@yahoo.com>; ISSA MAIGE <issa...@yahoo.com>; ISSA OMARI(MS) <ustaa...@yahoo.co.uk>; jamanda sheikh <j.f...@yahoo.co.uk>; JUMA KATANGA <jush...@yahoo.co.uk>; juma lungo <jlu...@udsm.ac.tz>; juma nchia <juma...@yahoo.com>; KHALID MLANGA (fes) <khmlan...@yahoo.com>; rashid kejo <rk...@mwananchi.co.tz>; yakub kidula <yki...@yahoo.co.uk>; muhaji kifea <luk...@yahoo.co.uk>; haruna lugeye <hlu...@yahoo.co.uk>; mboni ruzegea <mbonir...@gmail.com>; MWANAID SAID <mwana...@yahoo.com>; Mziya <mkm...@yahoo.com>; omari msumba <msum...@yahoo.com>; Zainab Mwatawala <zmwat...@yahoo.co.uk>; YAHYA NJAMA <ymn...@yahoo.com>; Riziki Shahari
<riziki...@yahoo.com>; mohammed said <mohamed...@hotmail.com>; SHUKURU MOHAMMED <shuk...@yahoo.co.uk>; sulayman sharif <ssale...@hotmail.com>; tanzania media <tzme...@gmail.com>; abeid othman <aaoy...@yahoo.com>
Cc: noori...@yahoogroups.com; othman...@yahoo.com; kal...@gmail.com; adow...@yahoo.com
Sent: Sun, February 7, 2010 12:16:59 AM
Subject: Re: MATOKEO KIDATO CHA NNE
Aaww.
Napenda kuwapa pongezi vijana wetu haswa Abuubakari Ally kutoka shule ya Mivumoni Islamic School(shule iliyopo msikitini- Mtambani-Kinondoni) ambaye ni miongozi mwa wanafunzi bora kwa Wavulana, wapo na vijana wengine kama Hamidu Mbonde na Said Abdallah toka Feza Boys,nimeegemea zaidi kwa Abubakari kutokana na mazingira duni ya shule aliyosomea.
shule hii ya Mivumoni huu ndio mtihani wao wa kwanza kitaifa kushiriki, hivyo sina budi kuthamini mchango wa walimu wao chini ya Ustadh Nsumba kuweza kutoa mwanafunzi bora kitaifa hii ni faraja kwetu sote.
Aidha kwa vile hali ya shule ilikuwa ngumu basi naamini wanafunzi wengi wao wanatoka katika mazingira kama yangu ya Tandale kwa Mtogole ambao wanakuwa hawana hata mtu wa kumuomba kitabu au msaada wa kimasomo.
Inawezekana kabisa Abubakari akawa ndio mwanafunzi wa kwanza kwenye familia yake kwenda kidato cha tano, ndio maana mafanikio yake yamenigusa sana,wale waliosoma FEZA kama
jina la shule linavyojieleza huenda wakawa wametoka kwenye familia bora kama jina la shule yao linavyojieleza(Familia zenye Fweza),Sababu nyingine wale waliomaliza Feza tayari wameona mifano ya wenzao wakifanya vizuri kwa miaka kadhaa.huyu wa Mivumoni yeye ndio darasa lao la kwanza kufanya mtihani wa kidato cha nne na hakuna A level shule kwake.
Mafanikio ya Mwannafunzi shuleni au chuoni yanachangiwa na mambo mengi watalaam wa SOCIOLOGY mnajua zaidi, kuwa mazingira na hali ya familia vina mchango mkubwa kwenye mafanikio ya mwanafunzi,Mimi wa Tandale kwa Mtogole ninayesoma Mivumoni rafiki zangu ni kutoka Vingunguti Kiembe
Mbuzi na Manzese Uwanja wa Fisi(Peer Group) yule wa Feza na Mzizima rafiki zake ni kutoka Masaki,Mbezi Beach na Oysterbay.
Mwalimu wa Mivumoni akisema anataka apewe kitabu cha Nelkon au Ramsden itabidi asubiri kofia ya siku ya Ijumaa na inawezekana asipate kitabu hicho,yule wa Mzizima anakutana na orodha ya
vitabu na mazingira mazuri ya kazi,
Niliwahi kuwa mbishi wa juu ya standards za shule na vyuo mbali mbali duniani.jamaa akaniambia kuwa Chuo kikuu cha Harvard au Oxford hakiwezi kuwa sawa na Udsm au St.Augustine na hata uwezo wa kiakili wa wanafunzi utakuwa tofauti sana wale waliopo Oxford watakuwa ni cream toka shule mbali mbali bora duniani na wale wa Tumaini University watakuwa si wa calibre ya Harvard.
peer group ya Obama akiwa Harvard sio sawa na peer Group ya Mwanafunzi wa Tumaini iliyopo Iringa au Chuo kikuu cha Mwenge,bado hujataja tafiti mbalimbali na pesa zinazotengwa kwa ajili ya research,Kuna vitengo maalum kwenye vyuo vya kufanya tafiti,mfano kuna rafiki yangu alisema kuwa Research Methodology kwa ajili ya Dissertation yake alifundishwa na wahadhiri nane tofauti na chuo kwao kuna online Journal zaidi ya mia tano kwenye fani yake amabazo chuo kinanunua kwa gharama kubwa sana,
Nazungumza kwa ushahidi nimewahi kuitembelea
shule yetu hiyo ya Mivumoni na kuona mazingira halisi ya shule, hawakuwa na vitabu vya shule vya kutosha sidhani hata 40 vilikuwa vinafika kwa idadi kiasi cha mwaka na ushee nilipokwenda shuleni hapo.lakini walimu na viongozi wa shule waliongozwa na Slogan ya Change we Need na kujiaminisha kuwa kweli tunaweza (YES WE CAN).
Mafanikio ya Mivumoni ni jibu sahihi kwa wale wanaoendelea kulia na Mfumo Kristu badala ya kujipanga na kuweka mikakati,kila tunaposhindwa kufikia malengo kisingizio kinaletwa kuwa kuna mfumo kristu na Bakwata inatumiwa na serikali kuharibu mipango yetu,lakini kwenye mambo yetu binafsi tunafanikisha bila kusema kuwa Mfumo Kristu umetubana, hivi leo hii OilCom au Manji akitaka kiwanja katikati ya jiji anaweza kukikosa kwa kisingizio cha kuwa kuna Mfumo kristu umemzuia?
Biashara ya madawa ya kulevya inapigwa vita sana Duniani lakini yule King hapa mjini ni Muislam anaishi Oysterbay na wanaohusika na
kupambana na biashara hiyo wanakwenda kuchukua pesa na kumuacha akidunda, nazungumzia mtandao wa juu kabisa sio kete moja au mbili za hapa kwetu Tandale,
Kwa vile tumekuwa sio wakweli kwenye kuleta maendeleo kwa jamii yetu basi hatukosi visingizio kama Kocha wetu Maximo,tukishindwa mechi utasikia sababu Godfrey Bonny ana miaka 28 hivyo ni mzee ameshindwa kusema kuwa Giggs wa Manchester ana 37 au Van desar ana 40, au Ricaldo Fuller wa Stoke City ana 38 na mchango wake uwanjani unaonekana,
Mara Boban na Chuji hawana nidhamu ndio maana tumefungwa wakati Rio Ferdinand alikimbia kupimwa kwa vile alikuwa kavuta bangi akafungiwa mwaka mzima Kocha wake akamfanya captain wa timu na Capello kampa timu ya Taifa awe captain,George Best alikuwa mlevi wa kutupwa,Paul Gascoigne-Gaza,Tony Adams wote ni walevi na makocha wazuri walitafuta mbinu za kuwafanya waendelee kuchezea timu zao za taifa,
Boban na Maradona nani mtovu wa
nidhamu?.leo hii Rooney kama angepewa Maximo basi asingekuwepo uwanjani kwa makuzi mabovu aliyokulia nayo lakini Meneja Fergusson anajua nini maana ya ualimu,
Mara Maximo atakuja na mpya kuwa sikuja kuleta kombe ila kujengwa misingi na mpira unaanzia chini kwa watoto, kama hivyo ndivyo anavyoamini kwanini asichukue timu ya watoto na wakubwa akawaacha watu wenye uwezo kama kocha wa Simba au huyu mzungu wa Yanga muda mfupi kabadilisha kiwango.
Msingi wa hoja yangu ni kuwa tutimize wajibu wetu kwanza halafu ndio tuanze kutafuta mchawi.Jamani tuwe wakweli wanafunzi wa Twayybat na Marian Girls wako sawa?Mazingira ya Marian Girls na Twayybat ni sawa? mfano huo huo uipe timu ya Manyema yenye makao yake dukani kwa Ali Mmanga mtaa wa Lindi na uifananishe na timu ya Yanga au Manchester United,
kwa mfano Marian Girls katika walimu wao walichukua walimu walioifanya Al-Haramain iwe juu ilikuwa ya tatu kitaifa, wenzetu wanafuatilia vipaji na
kuvifanyia kazi hawabahatishi,
Ni kweli kuna hila za hapa na pale lakini kama kuna nia thabiti na dhamira za kweli hakuna wa kutuzuia kwani ahadi hiyo katupa Mwenyezi Mungu kuwa ushindi uko kwetu kama tutafanya kwa nia dhabiti na kwa ajili yake.
Hivi karibuni kuna mtu kanitafuta kuwa nitafute mtu anayeweza kusaidia Computer moja kwa ajili ya shule moja ya kiislam ili kuinua kiwango cha taaluma aliyenitumia ujumbe ni mkuu wa taaluma,nikamwambia siwezi kufanya hivyo hao wenye uwezo wa kuchangia hawatanielewa,sababu shule hiyo niliiombea Computer 50 kwa wasamalia wema, wakapewa tena mpya kabisa.mimi nikaenda kupiga picha na kuwatumia wale waliotoa,muda si mrefu wenye shule wakaamua kwenda kufungua Internet Cafe kwa kutumia zile Computer kama mradi wao binafsi,jee kwenye hilo Mfumo kristu umeingia vipi?
Nikirudi kwenye mada yetu ya kijana Abubakar wa Mivumoni naona kuna haja ya kumpongeza tuliopo hapa tunaweza kuamua nini tumfanyie ili
ahisi kuwa mafanikio yake ni yetu sote,tutakuwa tume Mmotisha na kuwapa Motisha wale walio nyuma yake ili wafuate nyao zake, nadhani umefika wakati wa kuwa hamasisha vijana wetu,kuna watu niliona wana program inaitwa Elimu-ILMU AWARDS,tunaweza kukubaliana hapa kila mwenye mia tano au elfu tutachanga na tukawa na wajumbe kadhaa wakaenda kumkabidhi kijana wetu huko shuleni kwake,mfano ustadh Poyo,dada Asina na Fatma wakatuwakilisha kwenda kuongea nao na kumkabidhi zawadi,lakini pia kijana kama huyu anatakiwa apate watu wa kumtizama na kumpa ushauri kadri anavyokwenda na masomo yake,
Mfano John Mnyika wa Chadema alipata division one ya points saba akiwa O level huko A level akachemsha vibaya kiasi cha kukosa sifa za kusoma Chuo kikuu lakini lazima niseme kuwa Mnyima ana General knowledge kubwa sana kutokana na Exposure,
Kwenye mchango kama tutakubaliana na wajumbe basi tunaweza kumnunulia vitabu vya A level na mambo mengine ili muradi
apate zawadi itakayoendana na mambo ya Elimu, isije akatokea Cousin wangu kwa vile siku hizi toka Drogba aje hapa nyumbani basi naye kajenga Interest ya Mpira akasema tumnunulie jezi ya Chelsea iliyoandikwa Drogba,
baadhi ya wajumbe niliwatumia email kuwa Cousin alikwenda kushuhudia mtanange wa Taifa Stars na Ivory Coast Live kwa mara ya kwanza ,yaani siku ile Cousin wangu alikuwa na furaha sana,
au Cosuin wangu akasema tumnunulie simu awe na line nne kama zake yeye,hapo tutakuwa tunamshughulisha mtoto wa watu,mnajua kuwa cousin ana line nne za Zain,Voda,Tigo na Zantel na ana zingine tatu za kutuma sms za matusi jumla saba, mie nina wasi wasi kama Cousin wangu ni mzima kichwani,
kiakili haiwezekani DR.Abeid Gasper akawa na line nne,kuna mtu kaniambia kuwa unajua kuwa cousin yako ana line nne, nikamjibu inawezekana alipokuwa mtoto hakuchezea vifuu na toys,wana saikolojia wanasema kuwa mtoto akikosa kufanya baadhi ya mambo udogoni
basi atayafanya ukubwani,
jaribu kupata picha Cousin yuko na familia yake wanakula chakula cha jioni halafu simu ya kwanza inaita,mtoto anakuja baba Voda yako inaita, mara mie nami nampigia line ya wanyonge Tigo mtoto mwingine anamletea baba na hii inaita, mara Zain imeingia,hata watoto watafikiri kuwa baba anacheza na toys.
lakini msimlaumu sana Cousin wangu hata Mzee Mandela kwa vile alikaa sana jela kama miaka 27 fashion za nguo nyingi zilimpita akiwa jela, ndio maana mara alipoachiwa huru akawa havai suti sana ila anakula pamba za vijana,leo shati hii kesho lile alimuaradi afidie Fashion zote.
Cousin najua ukiona ujumbe huu si sms hizo za kuporomosha matusi,naomba nikufahamishe kuwa simu yangu nimeBlock sms zako kwa muda kuna kitu nafanya nikimaliza nitakushtua,kwani zinanipa afya na nina zipenda endelea tu Cousin,
tukirudi Mivumoni wametuonesha njia kuwa kwenye nia pana njia hivyo tuwe na mikakati nini tunataka sio kulia
kila dakika,Mivumoni wametutumia ujumbe kuwa OUR FUTURE,IT'S IN OUR HANDS,lakini tuwe makini asije kutokea mtu akasema kijana huyo apelekwe shule ya Mivumoni hapo hapo kwa vile kuna kidato cha tano kinaanza,tumwache aende kama ni Kibaha, Mzumbe au Ilboru akakutane na wenye vipaji wenzake,kama ni Tuition atasoma hapo Mivumoni,lakini nafasi yake special school aende,
Ustadh Nsumba anaingia kwenye lile kundi la Fine Teacher amablo lina watu kama Issa Maige,Professor Njozi,Ustadh Tego,Dr,Abeid Gasper n.k,Mwanafalsa William A.Ward anasema "A mediocre Teacher tells,a better Teacher explains,a good Teacher demonstrates,but a FINE TEACHER INSPIRES" sijui Cousin wangu anaingia wapi kwenye hilo kundi kama akisema ni Mwalimu.
Kitu kingine tumuombe Mwenyezi Mungu awaongoze watu wa mivumoni isije kuwa kupata Division one Abubakar ndio ikawa licence ya kuifanya elimu biashara,hivi sasa jamii yetu imekumbwa na balaa hili la kuifanya elimu ni bidhaa na si
huduma,
mtu hapati elimu kwa uwezo wake wa akili bali uwezo wa pesa ndio tiketi ya kupata elimu,hivi karibuni Kardinar Pengo alikuwa akihutubia sherehe ya kidato cha nne kwa shule ya wavulana Bagamoyo ikiwa ndio graduation yao ya kwanza, akawaambia kuwa anawaomba wakatoliki wote Tanzania wajitahidi wasiingie kwenye mtego wa kuifanya elimu Biashara,
iendeee kubaki kuwa huduma,leo hii kuna waislam wamesoma kwa taabu kwa bakuli za waislam hadi kwenye level za Masters wamesomeshwa kwa bakuli leo hii wanawasaliti waislam kwa kujiingiza kwenye biashara ya kuuza Elimu,
ukiwapigia simu mbona ada mamilioni utasikia kila kitu anapata shuleni huyo mwanafunzi yaani pen na madaftari,
hivi karibuni waziri mkuu Mizengo Pinda alifanya ziara mkoani Lindi na akapita Kilwa kwenye hotuba yake alisema kuwa umasikini uliopo kilwa ni mkubwa sana kwani pato la mwaka la mtu wa Kilwa ni shilingi laki moja na nusu,
leo tunafungua miradi ya shule huyo mtoto wa
Kilwa atasoma?mji wa Kilwa umekuwa nyuma kwa kukumbatia Uislam,watawala wa mwanzo walishindwa kuuendeleza wakijiua kuwa watakuwa wakiwaendeleza Waislam,sasa leo sisi tunapofanya Elimu Biashara tunawafikiria watu hawa wa Kilwa?
Mtu anaropoka kuwa Shule yetu tunataka watu wa upper class kwani wana uhakika wa kulipa ada,mara tunatengeza shule ambayo itawasaidia waislam wa Upper Class kupeleka watoto wao,
kwenye uislam hakuna aya wala hadithi inayosisitiza kuwa mtu awe concern na watu wa Upper class, tumesisitizwa tuwajali wanyonge,mafakiri,masikini, mayatima n.k huo ndio ubinafsi wenzetu wakiendelea tunatafuta visingizio,
Upper class watapeleka watoto wao Feza, Mzizima,Al Muntazir na hata nje ya nchi,wana njia nyingi za kusomesha watoto wao,Fikirieni wanyonge ndugu zanguni, hata kama biashara ziko za kufanya, sio kwenye Elimu na Matibabu,msi take advantage ya kiu ya elimu kwa jamii kujitajirisha,kwani wewe umepata elimu kwa vile
familia yako ilikuwa kwenye upper class?
tukipata elimu basi maendeleo yatapatikana,leo hii daktari mkuu wa Malkia wa Uingereza ni DR.Mohammed ndio mwenye final say ni Elimu ndiyo imemfikisha hapo,wengi wamefanikiwa kupitia elimu huku familia zao zikiwa duni,lakini wakishapata elimu hiyo wanaziba mianya hiyo kwa kizazi kijacho.
--- On Sat, 6/2/10, abeid othman <
aaoy...@yahoo.com> wrote:
> From: abeid othman <
aaoy...@yahoo.com>
> Subject: MATOKEO KIDATO CHA NNE
> To: "AHMED JUMA(ms)" <
alba...@gmail.com>, "abdallah mohammed" <
aada...@yahoo.co.uk>, "ABDALLAH SAGINI(ms)" <
sag...@yahoo.com>, "ABDALLAH KATUNZI(ms)" <
abdalla...@yahoo.com>, "Abdul Zeddy" <
binabda...@yahoo.com>, "Abeid" <
abe...@hotmail.com>, "abubakar mwinyi" <
drmw...@yahoo.com>, "al huda huda" <
hudae...@hotmail.com>, "alawi(ms)" <
ala...@gmail.com>, "Ally Kilima" <
aki...@yahoo.com>, "Amour Chamani" <
abach...@yahoo.com>, "ASINA OMARI(ms)" <
asina...@googlemail.com>, "Hersi Adan" <
sirh...@gmail.com>, "hatibu ame" <
hati...@hotmail.com>, "s a" <
yasi...@yahoo.co.uk>, "Suluo" <
ajs...@yahoo.co.uk>, "daima bukini" <
dbuki...@yahoo.com>, "fatma bakari" <
bakari...@yahoo.com>, "said yakub" <
bin_...@hotmail.com>, "SITI BADI" <
siti...@yahoo.com>, "shani christom" <
sh...@bakhresa.com>, "Dau" <
da...@yahoo.com>, "SHAMIM DAUDI" <
sdmw...@yahoo.com>, "Fatmah Khamis" <
fatmah...@yahoo.com>, "jumanne fundikira" <
je...@yahoo.com>,
"HAJI RUBIBI" <
hru...@gmail.com>, "HAMISI MKUNGA" <
mkung...@yahoo.com>, "HAMZA NJOZI" <
hamz...@yahoo.com>, "HARUN MBEYU" <
harun...@yahoo.co.uk>, "HASHIM SAIBOKO(ms)" <
sai...@yahoo.com>, "HAWRA ShAMTE" <
hsh...@mwananchi.co.tz>, "zeyana hamid" <
zeya...@yahoo.com>, "Idda Romore" <
iddar...@yahoo.com>, "ISSA MAIGE" <
issa...@yahoo.com>, "ISSA OMARI(MS)" <
ustaa...@yahoo.co.uk>, "jamanda sheikh" <
j.f...@yahoo.co.uk>, "JUMA KATANGA" <
jush...@yahoo.co.uk>, "juma lungo" <
jlu...@udsm.ac.tz>, "juma nchia" <
juma...@yahoo.com>, "KHALID MLANGA (fes)" <
khmlan...@yahoo.com>, "rashid kejo" <
rk...@mwananchi.co.tz>, "yakub kidula" <
yki...@yahoo.co.uk>, "muhaji kifea" <
luk...@yahoo.co.uk>, "haruna lugeye" <
hlu...@yahoo.co.uk>, "mboni ruzegea" <
mbonir...@gmail.com>, "MWANAID SAID" <
mwana...@yahoo.com>, "Mziya" <
mkm...@yahoo.com>, "omari msumba" <
msum...@yahoo.com>, "Zainab
Mwatawala" <
zmwat...@yahoo.co.uk>, "YAHYA NJAMA"
<
ymn...@yahoo.com>, "Riziki Shahari" <
riziki...@yahoo.com>, "mohammed said" <
mohamed...@hotmail.com>, "SHUKURU MOHAMMED" <
shuk...@yahoo.co.uk>, "sulayman sharif" <
ssale...@hotmail.com>, "tanzania media" <
tzme...@gmail.com>
> Cc:
noori...@yahoogroups.com,
othman...@yahoo.com,
kal...@gmail.com,
adow...@yahoo.com> Date: Saturday, 6 February, 2010, 17:32
> AAWW
> Hatimaye Baraza la Mitihani Tanzania limetangaza
> matokeo yaliyokuwa yakisubiriwa kwa hamu ya kidato cha
> nne
> Nimejaribu kukusanya mawili matatu nikaona ni heri
> kama nita share nami yafuatayo
> 1 KIWANGO CHA UFAULU
> kwa mwaka 2009 kiwango kimeshuka kwa asilimia 11
> ukilinganisha na mwaka 2008
> Kama kawaida somo la Hesabu limeendelea kuwa
> changamoto tete kwa wanafunzi wengi
> Zanzibar kama kawa haina hata
shule moja katika zile
> zinazosemwa kuwa shule bora kumi
> 2.SHULE 10 BORA (Watahiniwa 35 na Zaidi)
>
> Marian Girls,(Pwani)St.James
> Seminary(Kilimanjaro),Don Bosco Seminary(Iringa),St Francis
> Girls,(Mbeya)St Mary Junior Seminary(Pwani) Uru
> Seminary(Kilimanjaro),Feza Boys(Dar es Salaam),Anwarite
> Girls(Kilimanjaro)Maua Seminary(Kilimanjaro) na St. Mary Goreti
> (Kilimanjaro).
>
> 3.SHULE 10 BORA WATAHINIWA CHINI YA
> 35
> Feza
> Girls(Dar es Salaam), Mafinga Seminari (Iringa), St.
> Joseph-Kilocha Seminari(Kilimanjaro) na Queen of
> Apostles-Ushirombo (Shinyanga).
> Seminari ya Dungunyi (Singida), Seminari
> Rubya(Kagera), Seminari ya
> Sengerema (Mwanza), Bethelsabs
> girl (Iringa),Thomas more Machrina (Dar es Salaam) na Hellen’s(Dar es
> Salaam).
>
> 4.MAJINA YA WANAFUNZI BORA WA MWANZO
> KITAIFA
> Immaculate Mosha Marian Girls(Pwani), Gwamaka
> Njobelo Mzumbe(Morogoro),Wolfgang Seiya Majengo
> (Kilimanjaro)Vanessa Chilunda Marian Girls(Pwani),Faith
> Assenga Marian Girls(Pwani)Doreen Philbert Marian
> Girls(Pwani),Zahra Meghji Usagara(Tanga),John Kimbari
> St James
> Seminary(Kilimanjaro),Said Abdallah
> Feza Boys(Dar es Salaam) na Evans Lwanga Feza
> Boys(Dar es Salaam).
>
> 5.WAVULANA BORA
> Gwamaka Njobelo Mzumbe (Morogoro)Wolfgang Seiya
> Majengo(Kilimanjaro) John Kimbari St James
> Seminary(Kilimanjaro) Said Abdallah Feza Boys(Dar es
> Salaam),Evans Lwanga Feza Boys (Dar es Salaam),Abuubakari
> Ally Mivumoni Islamic Seminary (Dar es Salaam),Gabriel
> Aniseth Moshi Technical (Kilimanjaro), Hemed Koplo Feza Boys
> (Dar es Salaam) Hamidu
Mbonde Feza Boys(Dar es Salaam) na
> Innocent Nambuo Faraja Seminary(Kilimanjaro).
>
> 6.WASICHANA BORA
> Immaculate Mosha
> Maria Girls,(Pwani), Vanessa
> Chilunda Marian (Pwani)Faith
> Assenga Marian (Pwani), Doreen
> Philbert Marian (Pwani), Zahra Meghji Usagara(Tanga),
> Inviolata Chami Mariani (Pwani) Catherine Ballali St Francis
> Girls(Mbeya) Patricia Mmbaga Anwarite girls (kilimanjaro),
> Jovita Byemerwa St Francis girls (Mbeya) na Flora Munuo
> Anwarite Girls (Kilimanjaro)
>
> 7.KIOJA CHA KARNE
> Mtahiniwa mmoja kutoka shule ya Kadoto yeye
> aliamua kushusha matusi mazito katika makaratasi ya
> majibu
> 8. TUNAJIFUNZA NINI?
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>