Fw: Alhidaaya Toleo La 28 Sha'abaan 1432

20 views
Skip to first unread message

ZEYANA HAMID

unread,
Aug 5, 2011, 5:32:40 AM8/5/11
to biubwa ali, fattma ali, layla hafidh, maryam juma, Mimi, selwa hamid, Ahmed Khatib, Asha Seha, ashaa...@yahoo.com, Maryam Ali Spika, saumu, SAFIA HBC, hamida bungala, rajab ramia, the-fund...@googlegroups.com

Zeyana Abdallah Hamid
Zanzibar AIDS Control Programme
+255776880505

----- Forwarded Message -----
From: Alhidaaya.com <webm...@alhidaaya.com>
To: zeya...@yahoo.com
Sent: Friday, July 29, 2011 1:30 AM
Subject: Alhidaaya Toleo La 28 Sha'abaan 1432
Alhidaaya Toleo La 28 Sha'abaan 1432

Nyakati Tatu Muhimu Za Kufanya Ibada – Zisikupite Katika Ramadhaan

Nyakati tatu hizi ni muhimu sana za kufanya ibada kutokana na fadhila zake kuu. Mwenye kupenda kuchuma thawabu nyingi asizikose khaswa katika mwezi huu Mtukufu Wa Ramadhaan ambao ni mwezi wenye malipo maradufu
 
1-Wakati wa mwanzo:  Baina ya Alfajiri na jua kuchomoza:
 
Usimulizi uliothibiti kutoka katika Swahiyh Muslim (564/1) kwamba Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Maswahaba walikuwa wakibakia macho wakati huo hadi jua kuchomoza kwani ni wakati mja anapogaiwa rizki yake, na ni wakati wenye kheri nyingi, unampa siha nzuri ya mwili binaadamu, na kwa ujumla ni wakati wenye baraka nyingi za kila aina kwani Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) aliomba:  
اللهم بارك لأمتي في بكورها  الترمذي, أحمد, أبي داود, ابن ماجه
Tangazo

Faida Mbali Mbali Kuhusu Mwezi Mtukufu Wa Ramadhaan

Assalaamu 'Alaykum wa RahmatuLlaah wa Barakaatuh,
Tunapenda kuwajulisha kuwa tumewakusanyia mambo mengi mbalimbali ya kusoma na kusikiliza yanayohusu mwezi mtukufu wa Ramadhaan, tukitumai kwamba mtafaidika nayo; muweze kubakia katika hali ya Iymaan na Ucha Mungu daima. Pia mnufaike nayo na muweze kuchuma thawabu nyingi kwa kuyafanyia kazi yale yote mnayojifunza na mtoke katika mwezi huu mtukufu zikiwa Swawm zenu zimekubaliwa na madhambi kughufuriwa pamoja na sisi sote. Tunawomba msitutasahau kwa du'aa zenu.
Makala
Zingatio

Ramadhaan Alhidaaya Imefika

Kutoka mashariki, magharibi, kusini hadi kaskazini, Ramadhaan imeshaingia na Alhidaaya imekaribishwa kwa mikono miwili. Kwenu ni kujihimu kuzichuma fadhila za mwezi huu kupitia Alhidaaya kwa kuchukua mafunzo sahihi kwa mujibu wa Qur-aan na Sunnah.
Sikiliza Mawaidha Na Qur-aan
Tazama Video
Maswali
Mapishi
Alhidaaya.com
 
--
powered by phplist v 2.10.12, © tincan ltd

أبو عبدالله

unread,
Aug 6, 2011, 9:17:44 AM8/6/11
to the-fund...@googlegroups.com, rra...@hotmail.com, biubwa...@yahoo.com, tum...@hotmail.com, layla...@yahoo.com, helewat...@hotmail.com, zeya...@yahoo.com, selw...@hotmail.com, ahmed...@yahoo.com, asha...@hotmail.com, ashaa...@yahoo.com, nuu...@hotmail.com, ali_sa...@yahoo.com, saf...@hotmail.com, hami_b...@yahoo.co.uk
Assalaamu 'Alaykum wa RahmatuLlaah,

Allaah Akubariki Ukht Zeyana kwa ukumbusho huu mwema katika mwezi huu mwema wa baraka. Na Akuwekee haya katika Miyzaan ya Hasanaat yako siku ya Qiyaamah.
Tunamuomba Allaah Atutaqabalie Swawm zetu na Visimamo vyetu na 'Ibaadah zetu zote. Aamiyn
Jazaaki Allaahu khayra

Zeyana Abdallah Hamid
Zanzibar AIDS Control Programme
+255776880505

----- Forwarded Message -----
From: Alhidaaya.com <webm...@alhidaaya.com>
To: zeya...@yahoo.com
Sent: Friday, July 29, 2011 1:30 AM
Subject: Alhidaaya Toleo La 28 Sha'abaan 1432

Alhidaaya Toleo La 28 Sha'abaan 1432

Nyakati tatu hizi ni muhimu sana za kufanya ibada kutokana na fadhila zake kuu. Mwenye kupenda kuchuma thawabu nyingi asizikose khaswa katika mwezi huu Mtukufu Wa Ramadhaan ambao ni mwezi wenye malipo maradufu
 
1-Wakati wa mwanzo:  Baina ya Alfajiri na jua kuchomoza:
 
Usimulizi uliothibiti kutoka katika Swahiyh Muslim (564/1) kwamba Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Maswahaba walikuwa wakibakia macho wakati huo hadi jua kuchomoza kwani ni wakati mja anapogaiwa rizki yake, na ni wakati wenye kheri nyingi, unampa siha nzuri ya mwili binaadamu, na kwa ujumla ni wakati wenye baraka nyingi za kila aina kwani Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) aliomba:  

ï؟½ï؟½ï؟½ï؟½ï؟½ ï؟½ï؟½ï؟½ï؟½ ï؟½ï؟½ï؟½ï؟½ï؟½ ï؟½ï؟½ ï؟½ï؟½ï؟½ï؟½ï؟½ï؟½  ï؟½ï؟½ï؟½ï؟½ï؟½ï؟½ï؟½, ï؟½ï؟½ï؟½ï؟½, ï؟½ï؟½ï؟½ ï؟½ï؟½ï؟½ï؟½, ï؟½ï؟½ï؟½ ï؟½ï؟½ï؟½ï؟½

ï؟½ Tangazo
ï؟½ Nasiha Ya Ijumaa
ï؟½ Zingatio
ï؟½ Makala
ï؟½ Mawaidha Na Qur-aan
ï؟½ Video
ï؟½ Maswali
ï؟½ Mapishi

Tangazo

Faida Mbali Mbali Kuhusu Mwezi Mtukufu Wa Ramadhaan

Assalaamu 'Alaykum wa RahmatuLlaah wa Barakaatuh,
Tunapenda kuwajulisha kuwa tumewakusanyia mambo mengi mbalimbali ya kusoma na kusikiliza yanayohusu mwezi mtukufu wa Ramadhaan, tukitumai kwamba mtafaidika nayo; muweze kubakia katika hali ya Iymaan na Ucha Mungu daima. Pia mnufaike nayo na muweze kuchuma thawabu nyingi kwa kuyafanyia kazi yale yote mnayojifunza na mtoke katika mwezi huu mtukufu zikiwa Swawm zenu zimekubaliwa na madhambi kughufuriwa pamoja na sisi sote. Tunawomba msitutasahau kwa du'aa zenu.

Makala

    --
    powered by phplist v 2.10.12, ï؟½ tincan ltd

    --
    You received this message because you are subscribed to the Google Groups "the fundamentals" group.
    To post to this group, send email to the-fund...@googlegroups.com.
    To unsubscribe from this group, send email to the-fundamenta...@googlegroups.com.
    For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/the-fundamentals?hl=en.

    Reply all
    Reply to author
    Forward
    0 new messages