Fwd: Tanzania Alliance For Immunology Society (TAFII)

12 views
Skip to first unread message

Hermengild Mayunga

unread,
Jul 15, 2014, 5:50:05 PM7/15/14
to Edwin Ndaki, Eric S. Guga, Anicet Hishakiye, Hamisi Kigwangalla, MD, Pastorj K, linda kilewo, Clodwig Komba, alex margery, Neema Kang`opo, Parmenas Mashanjara, khalma hassan, Eliaisa Rama, Caroline Sylvester, Global Action Health Tanzania, kuruthum ngwenya, vicob...@yahoo.com, tcrf-southern-highlands-zone



---------- Forwarded message ----------
From: Tanzania Alliance For Immunisation Initiatives <tafii.p...@gmail.com>
Date: 2014-07-15 14:38 GMT+03:00
Subject: Tanzania Alliance For Immunology Society (TAFII)
To: cot...@gmail.com


Wapendwa Wana-Azaki

Napenda kuchukua nafasi hii kuwajulisha kwamba Muungano wa Asasi za Kiraia wa TAFII (Tanzania Alliance For Immunisation Initiatives) unapenda kuzikaribisha Asasi  za Kiraia ambazo zingependa kujiunga na Muungano huu.

Mungano huu wa Asasi za Kiraia (TAFII) Ni muungano (Network) wa Asasi zinazojishugulisha au kujihusisha na Miradi inayolenga katika Ustawi wa Afya ya Mtoto na Mama hasa katika kusisitiza upatikanaji wa Afya Kinga katika makundi haya ya kijamii hapa Tanzania, Hususani upatikanaji wa Chanjo na dawa za kinga kwa magonjwa mbalimbali yanayoweza kuzuilika kwa kinga badala ya kusubiri tiba. Muungano huu kwa sasa una wanachama (Asasi) 28.

 

Mwaka huu 2014 Muungano huu umejiunga na Muungano wa Asasi za Kimataifa wa Uhamisishaji katika upatikanji wa Chanjo na huduma ya Chanjo wa GAVI CSO-Global Alliance for Vaccine Initiatives – Civil Society Constituency ) Unaohamasisha upatikinaji wa Chanjo hasa kwa nchi zinazoendelea na kufanya utetezi wa kupunguza vifo vya watoto vinavyotokana na magonjwa yanaoweza kuzuilika. 

Ili kuweza kufanikisha utetezi wa haki ya Afya kwa mtoto na upatikanaji wa Chanjo kwa watoto wote. Tunakukaribisha kujiunga na Umoja huu.

Kama utapenda kujiunga na umoja huu basi tuma taarifa fupi za awali za za mawasiliano ya Asasi yako/ yeny ambazo ni

  1. Jina la Asasi
  2. Anuani na mahali asasi ilipo (Mkoa na Wilaya)
  3. Jina la Muhusika/ Mtendaji katika mawasiliano
  4. Anuani ya Barua pepe
  5. Number ya Simu kama Ipo

Taarifa zaidi za Kiutendaji na Vikao tarajiwa zitatumwa kwa Asasi ambazo zitatuma mawasiliano yao ya awali kwa kuonyesha nia ya kujiunga na TAFII.

 

Kwa taarifa zaidi juu ya GAVI (Unaweza kusoma pia katika - http://www.gavialliance.org/ na http://www.gavicso.org/


Ahsante


Alphonce Mgunde

Network Coordinator


--
Tanzania Alliance For Immunisation Initiatives (TAFII)
221 Ocean Rd
P O BOX 31232
Dar Es Salaam 
Tanzania.






--
Care of The Needy (COTN)
14 Mateka
P.O.BOX 773
Songea
Tanzania

Tel +255 25 2602064
Tel +255 754 457948

cot...@gmail.com
in...@cotn.or.tz
www.cotn.or.tz



--
Hermengild Mayunga
Director for Health Programs
ORES Tanzania

Senior Consultant
Tanzania Parliamentary Against Malaria & Neglected Tropical Diseases (TAPAMA&NTD)
drma...@gmail.com
tap...@parliamentary.go.tz
www.twitter.com/drmayunga

Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages