Ndugu wanachama wa TCRF,
Ninayofuraha kuwaletea ‘RASIMU YA PILI YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 2013’
Jukwaa la Haki za Mtoto kupitia ushiriki wenu kikamilifu katika mchakato huu inajivunia kuwepo kwa mafanikio makubwa kabisa kuweza kuunda, kushirikisha, kutoa maoni na maoni hayo kukubalika na kuwepo kwa kipengele cha 43 kinachotaja Haki za Mtoto na Wajibu wa kila mmojawapo. Ninaamini ni wajibu wetu wote kuielimisha Jamii kwa ujumla na hasa watoto ambao ni walengwa na kuhakikisha tunakilinda kipengele hiki kiweze kupita katika kura za maoni zitakazopelekea katiba mpya hivi Karibuni.
Nathubutu kusema hii ni heshima mojawapo Jukwaa lako linaweza kujivunia kwa Mwaka huu na pia kwa kujivunia kwako kuwa mwanachama wa Jukwa la Haki za Watoto (TCRF).
Wenu mtiifu!
Eric S. Guga, Mratibu, K.N.Y Mwenyekiti wa Jukwaa.
Tanzania Child Rights Forum (TCRF),
Kijitonyama Mpakani, Afrika Sana Area, Off Shekilango Rd.,
(Old TANGO Offices, Behind Ambiance)
P.O. Box 31398, Dar Es Salaam, Tanzania.
Office: Tel. +255-222 775 350;
Mobile (Coordinator): +255 789 692678/(0) 762 84 20 20
|
|
-- Tanzania Children Rights Forum (TCRF) Southern Highlands Zone --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "TCRF Southern Highlands Zone" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to tcrf-southern-highla...@googlegroups.com. To post to this group, send email to tcrf-southern-...@googlegroups.com. Visit this group at http://groups.google.com/group/tcrf-southern-highlands-zone. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. |