MASHAMBA MAZURI YA BEI NDOGO YANAUZWA

61 views
Skip to first unread message

Tanzania Mailing

unread,
Jun 19, 2026, 8:19:46 AM (6 days ago) Jun 19
to arusha...@googlegroups.com, tanzania...@googlegroups.com

 

Habari kwenu,

 

Sisi Manyoni Farmers tunapenda kuwatangazia wadau wote wanaopenda kumiliki Mali insyodumu na yenye manufaa makubwa kuwa tunayo mashamba tofauti tofauti tunayouza, na kuwa mashamba hayo yanarutuba sana, yanafaa kwa Mazao yafuatayo, Mikorosho, Karanga, Uwele, Mtama, Vitunguu, Mahindi, Viazi vyote vitamu na Viazi ulaya(mbatata viazi vya chips), Furaha, Alizeti, Uwele, Dengu, Chorizo, Vitungu, Matango,...nakadhalika, pia kilimo cha Maembe, Machungwa, Migomba, na mazao mengine yote. Huhitaji kutumia mbolea. Mashamba yetu yote yana faa sana pia kwa ufugaji wowote ule, NYUKI, MBUZI, NG'OMBE, KONDOO, N.K. 

 

Mashamba hayo yanafikika kwa miundo mbinu kirahisi sana, yako jirani na nguzo za umeme, pia upatikanaji wa maji ni mrahisi sana sana kwenda chini

 

Mashamba yetu yapo katika Mkoa wa Singida, Wilaya ya Manyoni ni kilomita 5 hadi 6 tu kufika yalipo kutokea Katikati ya mjini na kwenye barabara kuu ya rami iendayo Dodoma hadi Dar Es Salaam, 

 

Tunayo mashamba yenye ukubwa mbali mbali ukubwa wa hela Sabini [70], heka Hamsini [50], ukubwa wa heka [40], ukubwa wa heka [30] bei yake ni Shilingi Laki Tatu tu (Tsh 300,000/=) kwa kila heka moja

 

Mashamba haya yanarutuba ya kutosha, hayana mgogoro wowote na hatutaki dalali kwenye mauzo haya.

 

Tafadhali wasiliana nasi kupitia namba hizi hapa chini

 

 

 

 

Tafadhali wasiliana nasi kwa mapema 

 

 

SALE OF SUITABLE BIG FARMS

 

We Manyoni Farmers, are pleased to announce to you a sale of nice farms with all suitability for farming, keeping animals, bee keeping, etc.

 

The price is more friendly it is only for Tshs. 300,000/= per acre equal to USD 116 per acre.

 

We have 70 acres, 50 acres, 40 acres, 30 acres, 20 acres and 10 acres. Our farms are reachable at all weather. 

 

We are so pleased to welcome any one who feels the big future. Any visionary person is welcomed.

 

Farms are located at Manyoni District in Singida Region to the hub of Oil Region in Tanzania. Only 5 to 6 Kilomers from the centre of Manyoni to the farms. The centre of Manyoni is at the mid centre of Tanzania.

 

TUNAPATIKANA KWA MAWASILIANO HAYA

 

 

Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages