Bulldozer D7R INAKODISHWA

Maelezo Ya Mashine:
Caterpillar, D7R
Iko vizuri sana na Tayari kwa kazi. Na pia tuna Operator Mzoefu.
Mashine ipo Pangani, Tanga
Tsh 800,000/Day (bila mafuta na usafirishaji wake Kwenda site na kurudi).
Piga: 0689 803 768/0754 318 548 kwa maelezo zaidi.