TUNAUZA MASHAMBA MAKUBWA KUANZIA EKARI MOJA HADI EKARI 5000 ZILIZOPO SEHEMU MOJA NA PIA TUNAUZA VIWANJA VYA MAKAZI NA ZA BIASHARA NDANI YA MKOA WA ARUSHA, MANYARA NA ZANZIBAR

60 views
Skip to first unread message

Tanzania Mailing

unread,
May 29, 2026, 7:34:22 AM (5 days ago) May 29
to arusha...@googlegroups.com, tanzania...@googlegroups.com

1]  NDURUMA  tuko na mashamba ya kuuza kuanzia ekari moja hadi ekari  50 za pamoja bei kwa kila ekari moja ni milioni 15,000,000/= hayo mashamba yapo kilometa 15 kutoka lami ya bypass hadi mashamba yalipo na kuna mashamba ya kumwagilia na mengine yanategemea mvua tu au maji ya kuchimba bei hizi zina mazungumzo kidogo. Na huduma zote za muhimu zinapatikana kwenye maeneo yote .

 

[ 2 ] KISERIANI Tuko na viwanja vya ukubwa wa 23×20 hivi viwanya vipo mita 800 kutoka lami ya bypass  hadi kwenye viwanja huduma zote muhimu zipo  na bei kwa kila kiwanja ni milioni 20,000,000/= 

Na hapo kiseriani tupo na maeneo makubwa kuanzia ekari moja hadi ekari 27 sehemu moja tuko na ekari za milioni 40,000,000/= kuna za milioni 80,000,000/= 

 

[ 3 ]  Tupo na mashamba makubwa maeneo ya KISONGO, TENGERU, USARIVER, MOMELA, MANYIRE  NGARAMTONI NA KWINGINEKO. 

 

[ 4 ] KIN'GORI Tuko na Shamba kubwa la ekari 170 ziko kilometa 1 tu kutoka lami ni eneo zuri sana huduma zote muhimu zinapatikana hapo na bei kwa kila ekari moja ni milioni  25,000,000/=

[ 5 ]   Tuko na viwanja vyetu wenyewe na pia tuko na vya watu wengine tunawakutanisha muuzaji na mnunuzi  hatuchaji garama zozote kwenda kuona mashamba na viwanja  

 

KWA YEYOTE ANAETAFUTA SHAMBA LA KUNUNUA ,KIWANJA POPOTE NDANI YA MKOA WA ARUSHA , MANYARA  NA ZANZIBAR TAFADHALI USISITE 

KUWASILIANA NAMI KWA BARUA PEPE 

 

     au kwa simu namba 

 

        0793200304     Vodacom 

        0673647427    Tigo piga au pia WhatsApp 

 

KARIBUNI KWA HUDUMA BORA NA YA UWAKIKA  TUNAPATIKANA SIKU ZOTE ZA WIKI.

Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages