Bibi maendeleo Project ni shirika binafsi la maendeleo linalotoa fursa kwa vijana au anaetaka kujiendeleza likishirikiana na Chuo cha Visha Training Institute kilichopo Arusha chenye Usajili AIE/OS/0328 .
Kozi ni kwa muda mfupi -Ushonaji - ususi-Urembo- mapambo-Mapishi-. Mhudumu wa vyakula na vinywaji,-Mapokezi hotel za kitalii, mhudumu wa vyumba hotelini, Computer,- ukondactor wa magari, English graphic design - kinyozi na ujasiriamali
Sifa: awe anajua kusoma na kuandika
Awe na barua kutoka serikali za mtaa na awe ndani ya chuo ndani ya miezi mitatu ambayo atalipia chakula na kulala sh 600,000 Ada ni BURE.
Wasiliana nasi upate ufundi wenye kazi kwa haraka.
+ 0755 854407 , 0764688028 au 0785566353.
Mwisho ni tarehe 30/5/2026
Karibuni sana Usajili unaendelea. Hosteli zipo ndani ya chuo.