TUNAUZA MASHAMBA NA VIWANJA POPOTE NDANI YA MKOA WA ARUSHA NA MANYARA .

20 views
Skip to first unread message

Tanzania Mailing

unread,
Jun 2, 2026, 7:35:22 AM (yesterday) Jun 2
to arusha...@googlegroups.com, tanzania...@googlegroups.com

 

[ 1 ]  NDURUMA  tuko na mashamba ya kuuza kuanzia ekari moja hadi ekari  50 za pamoja bei kwa kila ekari moja ni milioni 15,000,000/= hayo mashamba yapo kilometa 15 kutoka lami ya bypass hadi mashamba yalipo na kuna mashamba ya kumwagilia na mengine yanategemea mvua tu au maji ya kuchimba bei hizi zina mazungumzo kidogo. Na huduma zote za muhimu zinapatikana kwenye maeneo yote .

[ 2 ] KISERIAN MUUNGANO : Tuko na Shamba la ekari  kumi ziko mita 200 kutoka barabara kuu ya kiserian .huduma zote muhimu zinapatikana kama vile umeme, maji ya bomba na barabara ya gari kufika hadi shambani na umbali kutoka barabara ya bypass hadi shambani ni km 6  .Bei kwa kila ekari moja ni milioni [ 45,000,000  ] kuna mazungumzo kidogo kuusu bei 

Na hapopo KISERIAN MUUNGANO tuko na Shamba la ekari 26 shambani hili limepakana na barabara kuu ya kiserian  huduma zote muhimu zinapatikana bei kwa kila ekari moja ni milioni 50,000,000/= kuna mazungumzo kidogo kuusu bei 

[ 3 ] KISERIANI  Tuko na viwanja vya ukubwa wa 23×20 hivi viwanya vipo mita 800 kutoka lami ya bypass  hadi kwenye viwanja huduma zote muhimu zipo  na bei kwa kila kiwanja ni milioni 20,000,000/= 

Na hapo kiseriani tupo na maeneo makubwa kuanzia ekari moja hadi ekari 27 sehemu moja tuko na ekari za milioni 40,000,000/= kuna za milioni 80,000,000/= 

 

[ 4 ]  Tupo na mashamba makubwa maeneo ya KISONGO, TENGERU, USARIVER, MOMELA, MANYIRE  NGARAMTONI NA KWINGINEKO. 

 

[ 5 ] KIN'GORI Tuko na Shamba kubwa la ekari 170 ziko kilometa 1 tu kutoka lami ni eneo zuri sana huduma zote muhimu zinapatikana hapo na bei kwa kila ekari moja ni milioni  25,000,000/=

[ 6 ]   Tuko na viwanja vyetu wenyewe na pia tuko na vya watu wengine tunawakutanisha muuzaji na mnunuzi  hatuchaji garama zozote kwenda kuona mashamba na viwanja  

 

KWA YEYOTE ANAETAFUTA SHAMBA LA KUNUNUA ,KIWANJA POPOTE NDANI YA MKOA WA ARUSHA , MANYARA  NA ZANZIBAR TAFADHALI USISITE 

KUWASILIANA NAMI KWA BARUA PEPE 

 

     au kwa simu namba 

 

        0793200304     Vodacom 

        0673647427    Tigo piga au pia WhatsApp 

 

Tanzania Mailing

unread,
Jun 2, 2026, 7:48:19 AM (yesterday) Jun 2
to arusha...@googlegroups.com, tanzania...@googlegroups.com
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages