Edward Alex
unread,Apr 13, 2015, 1:16:07 AM4/13/15Sign in to reply to author
Sign in to forward
You do not have permission to delete messages in this group
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message
to tangaza-tanz...@googlegroups.com
Kisukari ni ugonjwa unaotokana na betacell inayotengeneza insullin
kwenye kongosho kuharibiwa hivyo mtu kushindwa kuzalisha insullin na
kupelekea mgonjwa kutumia insullin ya nje kuchoma sukari ili kuweza
kuishi.
AINA ZA KISUKARI
AINA YA KWANZA YA KISUKARI (TYPE 1 DIABETES)
Aina hii maranyingi mtu huwa anazaliwa nayo chanzo chake ni kongosho
kushindwa kuzalisha insullin kutoka na kuharibika kwa BETACELL
inayohusika na uzalishaji wa isullin kwenye kongosho hivyo mgonjwa
hulazimika kutumia outside source kupata insullin ili kuishi
AINA YA PILI YA KISUKARI (TYPE 2 DIABETES)
Aina hii mara nyingi husababishwa na life style yetu hasa vyakula
tunavyokula kila siku hivyo husababisha mtu kupata kisukari
FAIDA ZA MANGOSTEEN POWDER KWA WAGONJWA WA KISUKARI
1. Inasaidia sana uzalishwaji wa insullin
2. Hufanya kongosho kuanza kufanya kazi ya kuzalisha insullin
3. Kongosho itaanza kuzalisha betacell ambayo inahusika na uzalishaji
wa harmone insullin ambayo inasaidia kudhibiti kiwango cha sukari
kwenye damu
4. Xathone inayopatikana kwenye MANGOSTEEN POWDER inasaidia mwili
kupokea insullin bila kikwazo
5. Inasaidia kupunguza hamu ya kula hivyo hupelekea mtumiaji kuwana mwili mzuri
6. Inasaidia sana kupunguza matumizi ya dawa zakisukari ( Hpoglycemic
medication)
7. Kiwango cha sukari mwilini hushuka kwa 100unitskatikamuda mfupi
baada ya kutumia MANGOSTEEN
8. Kuna aina 40 za Xathone zinazopatikana kwenye MANGOSTEEN ambazo
huondoa kiwango chasukari kilichozidi
mwilini pamoja na sumu ( Free radicals)
9. Hupunguza sukari ya ziada mwilini. Kiuhalisia kiwango kikubwa
chasukari mwilini hupelekea kupata presha, kuharibika kwa figo na
macho kutokuona vizuri
Kwa wahitaji wa MANGOSTEEN POWDER wafike ofisini kwetu
Sinza Africasana, Plot no. 36, Nyuma ya soko
Au Piga simu No. 0717 998703
0759 425257