POULTRY FARMING (UFUGAJI KUKU)

43 views
Skip to first unread message

TANZANIA BUSINESS FORUM

unread,
Jun 8, 2020, 6:06:34 AM6/8/20
to TANZANIA BUSINESS FORUM

kienyeji.jpg


Ratiba ya utagaji kwa kuku wa mayai
Umri wa kutaga ni wiki ya kumi na sita
wiki ya kumi na tisa asilimia 6 ya kuku hutaga
wiki ya ishirini ni asilimia 20 ya kuku hutaga
wiki ya ishirini na moja ni asilimia 50 ya kuku hutaga
wiki ya ishirini na mbili ni asilimia 78 ya kuku hutaga
Wiki ya 23-43 ni 90-93% ya kuku hutaga
Wiki ya 44-60 ni 80-89% ya kuku hutaga
Wiki ya 61-73 ni 70-79% ya kuku hutaga
Wiki ya 73-80 ni 70-65% ya kuku hutaga na kadri siku zinapozidi kuongezeka na utagaji
hupungua na ukiona hivyo ni vyema kujitayarisha kwa batch mpya
Kwa mahitaji ya vifaranga wa kuroiler, Malawi na saso piga simu hzo hapo juu bei sh 1500 tu

By Dr chelson kiswaga
Kuku mbezi instagram
Mbezi Vifaranga fb

CALL
0786525879/0742657842

Reply all
Reply to author
Forward
This conversation is locked
You cannot reply and perform actions on locked conversations.
0 new messages