


Welcome Bavi Drilling Company limited na wataalamu wa huduma zifuatazo
Watalaam wa kufanya ground water survey kubaini mikondo ya maji ardhini hatua hii ni ya kwanza kabla hujachimba kisima
#tunachimba visima vya kisasa kwa kutumia drilling machine visima hiv ni salama na vinauwezo mkubwa wa uvunaji maji
Pia tunafanya service mbalimbali za visima kama kunasua pump kuflush kisima
Wasiliana nasi kwa namba
0657710078
0769509666
Tuko Dar es salaam