




Mashine za kusaga na kukoboa.
Mashine za kuranda na kuchana mbao.
Mashine za kufyatulia tofali.
Mashine za kuvunia mpunga.
Mashine za kusaga karanga (peanut butter).
Mashine za sabuni za miche.
Mashine za sabuni za maji.
Mashine za kupanda miche ya mpunga.
Mashne za kukamua alizeti na kuchuja.