Waliofeli form 4, nini wafanye?

7 views
Skip to first unread message

Usamah Alsharjy

unread,
Feb 17, 2017, 5:20:36 AM2/17/17
to TAMSYA FORUM
Tungependa kupata ushauri kutoka kwa wadau tofauti tofauti juu ya suluhisho la tatizo hili la kufeli masomo katika ngazi ya kidato cha nne, kwani wanafunzi wamekata tamaa na kusoma!

Nini wafanye?
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages