Wazo zuri mheshimiwa , ila nafikiri since tuna namba za simu basi ni vizuri kumpitishia mhusika directly through mitandao uliyoisema. I think its more efficient that way and very comforting kujua kwamba vijana tupo pamoja. Kwa walio karibu, kwenda is even better. Good stuff mkuu.
--
Hiyo Imekaaa sawa kabisa kijana, maana haya matatizo ya kibinaadamu hakuna anaeweza kuyaepuka na huja wakati ambao hujawa na maandalizi, kwa hiyo mimi nalikubali kwa dhati kabisa, kila mtu kwa kiwango chake, amtumie mkusanyaji, nafikiri William Kaijage atatusaidia kwa hili, na mengineyo.
Ahsanteni…
Tanzania Cigarette Company Ltd
A member of the JTI Group of Companies
J6 H349 Euckenford Street
P.O.Box 683, Tanga