Oh noo, mungu amlaze mzazi wetu mahala pema peponi. Poleni sana Alice.
--
Tambaza1996 Facebook Group: http://www.facebook.com/groups/tambaza1996/
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Tambaza High School (1994 to 1996)" group.
To post to this group, send email to tamba...@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/tambaza1996.
Pole sana Alice. Ni Mungu peke yake anaweza kukufariji. Mtegemee yeye. RIP Mzee Mashiku Grace |
Pole sana Alice, Mungu akupe nguvu. Tulimpenda lakini Mungu amempenda zaidi.
Alice Mungu awatangulie, awape nguvu katika kipindi hiki kigumu.
Poleni sana.
Victor.
Pole sana Alice na familia yako ,Mungu awape nguvu na moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu………kina nafsi itaonja umauti……amein.
From: tamba...@googlegroups.com [mailto:tamba...@googlegroups.com]
On Behalf Of Victor Bukozo
Sent: Tuesday, November 26, 2013 10:46 AM
To: tamba...@googlegroups.com
Subject: Re: [Tambaza1996] R.I.P Mzee Donat Mashiku...
Alice Mungu awatangulie, awape nguvu katika kipindi hiki kigumu.
Poleni sana Alice, Ndugu na Jamaa wote Kwa msiba wa Mzee wetu mpendwa. Hii ni safari ya kila mmoja wetu yeye ametutangulia sisi tutamfuata, tuzingatie sana ibada.
Tanzania Cigarette Company Ltd
A member of the JTI Group of Companies
J6 H349 Euckenford Street
P.O.Box 683, Tanga
Alice poleni sana. Mwenyezi Mungu awape nguvu wakati huu.
Pole sana Alice, mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu, na roho ya marehemu ailaze mahali pema peponi, Amen.