29 views
Skip to first unread message

Richard Valimba

unread,
Mar 15, 2013, 6:00:55 AM3/15/13
to tamba...@googlegroups.com
Haya zamu ya ladiz now kuonekana maana pics nyingi zina guys tu hahaha!Hii ilikuwa ni siku tulipomaliza mtihani wa mwisho kabisa wa A-Level hivyo these happy people (ladiz)!!!!! like othaz walikuwa ni mwenye furaha baada yakutaabika kwa siku kadhaa zilizopita kama wanavyoonekana wakijimwaga.
 
"Bring back those simple times of yesterday When a man was a man And a friend was a friend" ; Bring back those simple times of yesterday When you said what you meant And you meant what you said" i like this statement from babyface song "SIMPLE DAYS"
 
Nice weekend to you all,
 
Chiaz!
Tambaza galz of Yesterday's!.jpg

ges...@gmail.com

unread,
Mar 15, 2013, 6:11:26 AM3/15/13
to tamba...@googlegroups.com
Namuona jirani Jacqueline Senkondo, Abella Kaijage na Joyce Kavishe.
Mpiga picha hakuwa Andrew Mwanukuzi?

Enviado através do BlackBerry® Smartphone da mcel. Quer um igual? Ligue grátis para 111. Sent from my BlackBerry® smartphone from mcel. You want one too? Call 111, Toll Free.

From: Richard Valimba <rval...@yahoo.com>
Date: Fri, 15 Mar 2013 03:00:55 -0700 (PDT)
Subject: [Tambaza1996]

--
Tambaza1996 Facebook Group: http://www.facebook.com/groups/tambaza1996/
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Tambaza High School (1994 to 1996)" group.
To post to this group, send email to tamba...@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/tambaza1996?hl=en.
 
William Kaijage

unread,
Mar 15, 2013, 6:26:28 AM3/15/13
to tamba...@googlegroups.com
Nyuma kulia kabisa kama sikosei Theckla Makungu supporter wa Jubilee Kenya teheheh.

By the way, siku hizi simuoni Jacqueline Senkondo ndani ya Facebook. Can somebody add her to the group?

joyce kavishe

unread,
Mar 15, 2013, 7:28:47 AM3/15/13
to tamba...@googlegroups.com
great memories..... duh, watu tumekuwa wamama ile mbaya.
William, Jack hayuko facebook siku hizi, unamuongezaje kwenye hii group, some of us are technologically retarded.

William Kaijage

unread,
Mar 15, 2013, 7:36:26 AM3/15/13
to tamba...@googlegroups.com
Joyce mama wa Sidney

Kama hayupo kwenye Facebook, hakuna namna ya kummuvuzisha kwenye group.

Joyce, unawakumbuka watu wote kwenye hii picha?

ges...@gmail.com

unread,
Mar 15, 2013, 7:43:29 AM3/15/13
to tamba...@googlegroups.com
William,
Anaweza kutokuwepo kwenye facebook lakini akawa anapata email hizi za googlegroups, nenda kwenye manage group, then direct add members and put her email address, she will be able to see and reply all the email dialogues like this one.

Regards,
Gesona Ngabo.

Enviado através do BlackBerry® Smartphone da mcel. Quer um igual? Ligue grátis para 111. Sent from my BlackBerry® smartphone from mcel. You want one too? Call 111, Toll Free.

From: William Kaijage <kai...@gmail.com>
Date: Fri, 15 Mar 2013 14:36:26 +0300
Subject: Re: [Tambaza1996]

joyce kavishe

unread,
Mar 15, 2013, 8:16:04 AM3/15/13
to tamba...@googlegroups.com
hapo kuna jackie, abella, grace mng`ong`o na teckla. Huyo nyuma yangu sijamgundua vizuri. Kumbe technology inatu challenge wengi, naona Gesona anatupa mashule hapo.

abella...@gmail.com

unread,
Mar 15, 2013, 8:23:42 AM3/15/13
to tamba...@googlegroups.com
Aaaaaaw yani memories za nguvu!tulikua spring chicken kabisaa,sasa hivi mimama!
Jamani keep coming these old pics....nimechekaaa kwl.
This photo made my day....asante Richard.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: joyce kavishe <joyka...@gmail.com>
Date: Fri, 15 Mar 2013 23:16:04 +1100

William Kaijage

unread,
Mar 15, 2013, 9:07:30 AM3/15/13
to tamba...@googlegroups.com
Gesona and others

Naomba email ya address ya Jack (na namba ya simu if possible) ili
tuweze kumu-add kwenye mailgroup na contact database yetu.

On 3/15/13, ges...@gmail.com <ges...@gmail.com> wrote:
> William,
> Anaweza kutokuwepo kwenye facebook lakini akawa anapata email hizi za
> googlegroups, nenda kwenye manage group, then direct add members and put her
> email address, she will be able to see and reply all the email dialogues
> like this one.
>
> Regards,
> Gesona Ngabo.
>
>
>
>
> Enviado através do BlackBerry® Smartphone da mcel. Quer um igual? Ligue
> grátis para 111. Sent from my BlackBerry® smartphone from mcel. You want one
> too? Call 111, Toll Free.
>
>>>> ------------------------------
>>>> *From: * Richard Valimba <rval...@yahoo.com>
>>>> *Sender: * tamba...@googlegroups.com
>>>> *Date: *Fri, 15 Mar 2013 03:00:55 -0700 (PDT)
>>>> *To: *tamba...@googlegroups.com<tamba...@googlegroups.com>
>>>> *ReplyTo: * tamba...@googlegroups.com
>>>> *Subject: *[Tambaza1996]
>>>>
>>>> Haya zamu ya ladiz now kuonekana maana pics nyingi zina guys tu
>>>> hahaha!Hii ilikuwa ni siku tulipomaliza mtihani wa mwisho kabisa wa
>>>> A-Level
>>>> hivyo these happy people (ladiz)!!!!! like othaz walikuwa ni mwenye
>>>> furaha
>>>> baada yakutaabika kwa siku kadhaa zilizopita kama
>>>> wanavyoonekana wakijimwaga.
>>>> ********
>>>> *"Bring back those simple times of yesterday When a man was a man And a
>>>> friend was a friend" ; Bring back those simple times of yesterday When
>>>> you said what you meant And you meant what you said" i like this
>>>> statement from babyface song "SIMPLE DAYS"*

Theckla K

unread,
Mar 15, 2013, 1:05:50 PM3/15/13
to tamba...@googlegroups.com

eeh siamini kama nilikuwa mwembamba hivi ; Kaijage mimi ni bendera fata upepo; nimeona wanaonizunguka wanasupport na mimi ndio hivyo hivyo.

green...@yahoo.com

unread,
Mar 15, 2013, 3:10:07 PM3/15/13
to tamba...@googlegroups.com
Namuona Grace Mng'ong'o pembeni kabisa.Dah!hajabadilika sn
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Theckla K <tisk...@gmail.com>
Date: Fri, 15 Mar 2013 10:05:50 -0700
Subject: Re: [Tambaza1996]

Morgan

unread,
Mar 15, 2013, 3:25:07 PM3/15/13
to Tambaza 1996, rval...@yahoo.com

Duh! hii imetulia sana,namuona Jack Senkondo akiwakilisha PCM nani mwingine wa PCM hapo?

Sent from Yahoo! Mail on Android

From: Richard Valimba <rval...@yahoo.com>;
To: tamba...@googlegroups.com <tamba...@googlegroups.com>;
Subject: [Tambaza1996]
Sent: Fri, Mar 15, 2013 10:00:55 AM

Haya zamu ya ladiz now kuonekana maana pics nyingi zina guys tu hahaha!Hii ilikuwa ni siku tulipomaliza mtihani wa mwisho kabisa wa A-Level hivyo these happy people (ladiz)!!!!! like othaz walikuwa ni mwenye furaha baada yakutaabika kwa siku kadhaa zilizopita kama wanavyoonekana wakijimwaga.
 
"Bring back those simple times of yesterday When a man was a man And a friend was a friend" ; Bring back those simple times of yesterday When you said what you meant And you meant what you said" i like this statement from babyface song "SIMPLE DAYS"
 
Pendo Mlay

unread,
Mar 16, 2013, 1:29:35 AM3/16/13
to tamba...@googlegroups.com, tamba...@googlegroups.com
Kwa kweli hii picha imenikumbusha vitu vingi sana...
Tungepata na ya wanaume tucompare na wao walivyokuwa wa kawaida....

Sent from my iPad
--
Tambaza1996 Facebook Group: http://www.facebook.com/groups/tambaza1996/
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Tambaza High School (1994 to 1996)" group.
To post to this group, send email to tamba...@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/tambaza1996?hl=en.
 
<Tambaza galz of Yesterday's!.jpg>

Mussa Iddi Sechonge

unread,
Mar 16, 2013, 5:34:26 AM3/16/13
to tamba...@googlegroups.com
Kwa kweli mmetokelezea, Warembo wa enzi hizo ila kwa sasa ni akina mama. Hongera sana kwa kuweka kumbukumbu muhimu kama hii nasi WAGUMU WA ENZI HIZO TUTAWEKA PICs ZETU

2013/3/16 Pendo Mlay <pendom...@gmail.com>

William Kaijage

unread,
Mar 16, 2013, 6:15:07 AM3/16/13
to tamba...@googlegroups.com
Pendo Mlay mzee wa KCMC

Picha nyingi zipo kwenye Facebook group yetu ya Tambaza1996
ukifananisha na zilizopo kwenye hii mail group.

Sijui kama upo kwa FB. Nimeku-search but not reachable.

Sophia Mwema

unread,
Mar 17, 2013, 11:41:43 AM3/17/13
to tamba...@googlegroups.com
Lol picha imenifurahisha sana, sijui imechimbuliwa wapi? Joyce huyo wanyuma yako it's me Sophia Mwema. Those were old good days.....
My Compliments to all who facilitated this reunion in one way or the other.

From: joyce kavishe <joyka...@gmail.com>;
To: <tamba...@googlegroups.com>;
Subject: Re: [Tambaza1996]
Sent: Fri, Mar 15, 2013 12:16:04 PM

hapo kuna jackie, abella, grace mng`ong`o na teckla. Huyo nyuma yangu sijamgundua vizuri. Kumbe technology inatu challenge wengi, naona Gesona anatupa mashule hapo.

On Fri, Mar 15, 2013 at 10:43 PM, <ges...@gmail.com> wrote:
William,
Anaweza kutokuwepo kwenye facebook lakini akawa anapata email hizi za googlegroups, nenda kwenye manage group, then direct add members and put her email address, she will be able to see and reply all the email dialogues like this one.

Regards,
Gesona Ngabo.

Enviado através do BlackBerry® Smartphone da mcel. Quer um igual? Ligue grátis para 111. Sent from my BlackBerry® smartphone from mcel. You want one too? Call 111, Toll Free.
From: William Kaijage <kai...@gmail.com>
Date: Fri, 15 Mar 2013 14:36:26 +0300
Subject: Re: [Tambaza1996]
Joyce mama wa Sidney

Kama hayupo kwenye Facebook, hakuna namna ya kummuvuzisha kwenye group.

Joyce, unawakumbuka watu wote kwenye hii picha?

On Fri, Mar 15, 2013 at 2:28 PM, joyce kavishe <joyka...@gmail.com> wrote:
great memories..... duh, watu tumekuwa wamama ile mbaya.
William, Jack hayuko facebook siku hizi, unamuongezaje kwenye hii group, some of us are technologically retarded.
On Fri, Mar 15, 2013 at 9:26 PM, William Kaijage <kai...@gmail.com> wrote:
Nyuma kulia kabisa kama sikosei Theckla Makungu supporter wa Jubilee Kenya teheheh.

By the way, siku hizi simuoni Jacqueline Senkondo ndani ya Facebook. Can somebody add her to the group?
On Fri, Mar 15, 2013 at 1:11 PM, <ges...@gmail.com> wrote:
Namuona jirani Jacqueline Senkondo, Abella Kaijage na Joyce Kavishe.
Mpiga picha hakuwa Andrew Mwanukuzi?

Enviado através do BlackBerry® Smartphone da mcel. Quer um igual? Ligue grátis para 111. Sent from my BlackBerry® smartphone from mcel. You want one too? Call 111, Toll Free.

From: Richard Valimba <rval...@yahoo.com>
Date: Fri, 15 Mar 2013 03:00:55 -0700 (PDT)
Subject: [Tambaza1996]
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages