Wadau wa Tambaza

28 views
Skip to first unread message

William Kaijage

unread,
Jul 21, 2014, 5:54:00 AM7/21/14
to tamba...@googlegroups.com

Kuna mtu ameulizia mwalimu Oluoch yupo wapi. Ezekiah Olouch hivi sasa ni katibu wa chama cha walimu (CWT). Kwa nafasi hiyo pia amefanikiwa kuwa mmoja ya wajumbe wa bunge maalum la katiba. Siku hizi hafundishi.
http://1.bp.blogspot.com/-BgXn4Pi3cRA/UkyOt5lMPmI/AAAAAAAAROs/tk-YQcalIwo/s640/walimu.jpg

Hapa nimeweka screeshot za wadau wawili waliosoma Tambaza miaka tofauti ili muweze kuona concern yao. Wa kwanza ni Maggid Mjengwa na wa pili ni Innocent Peter Mosha


 


Emmanuel Kipimo

unread,
Jul 21, 2014, 1:25:06 PM7/21/14
to tamba...@googlegroups.com
jamani Tambaza imetutia aibu kwa kweli yaan hata ukisema ulisoma hapo ni noma tupu,lazima tumtafute mchawi,au vijana hawana mbinu za kisasa za kusoma? we mashule kibao zenye  kidato cha 6 tunakuwa wa tatu kutoka mwisho! au fb,twitter,whatsApp n.k zinawazuzua wanashindwa kupata muda wa kusoma? wakati ule high school zilikuwa chache lakini tulikuwa tunafanya mambo. 


--
Tambaza1996 Facebook Group: http://www.facebook.com/groups/tambaza1996/
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Tambaza High School (1994 to 1996)" group.
To post to this group, send email to tamba...@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/tambaza1996.


moses Nkundwe

unread,
Jul 22, 2014, 3:46:55 AM7/22/14
to tamba...@googlegroups.com
Nadhani tatizo ni General Studies. Kwa sababu grade avarage ni D na E.Tafauti na sisi tulivyosoma some hili, General Studies, lilikuwa linapewa S or Fail. Pia halikuwa linatumika kwenye calculation ya formula ya Division kabisa. Nimejaribu kutumia precedure za calculation za wakati wetu,yaani, kulichukulia somo la General Studies kama S. Pia kutotumia somo hili kwenye calculation ya division kama tulivyokuwa kunafanya wakati wetu. Results zimekuwa nzuri sana.

Kwa hiyo nadhani maswali ya kujiuliza ni:-

1. Je wanafunzi  walilizarau hili somo (General studies)? Sababu ni kuwa mbona masomo ya combination wamefanya vizuri
2. Je wanafunzi walikuwa hawana walimu wa hili somo (General studies)?
3. Je shule ilipeleka continuous assessment report ambazo zilikuwa na maksi ndogo kwenye masomo yote au vipi? Kwa sababu ukitaka kujua formula ya sasa hivi Visit this link  The National Examinations Council of Tanzania
 
 
image
 
 
 
 
 
The National Examinations Council of Tanzania
National Examinations Council of Tanzania
Preview by Yahoo
 
 Nadhani wote mnamkumbuka mwalimi wetu fulani wa chemistry na maksi zake za kukatisha tamaa. Kama wakati wetu wangetumia formula ya sasa nadhani hali ingekuwa siyo ya kuridhisha pia.

Haya ni maoni yangu.


Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages