
Omg! Maskini. Mungu amlaze mahala Pema peponi ndugu yetu.
--
Tambaza1996 Facebook Group: http://www.facebook.com/groups/tambaza1996/
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Tambaza High School (1994 to 1996)" group.
To post to this group, send email to tamba...@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/tambaza1996.
Wooow Mungu amlaze mahali pema peponi. Poleni saaana wanafamilia
Oh! my God... May his soul rest in peace. Amen
Agnes N.
On Apr 16, 2014 5:38 PM, "William Kaijage" <kai...@gmail.com> wrote:
>
>
>
> Mwana Tambaza96 (PCB1) Mussa Sechonge amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (16-Apr-2014) alipokuwa mkoani Njombe kikazi.
> Mpango unafanyika kumsafirisha kwenda Tanga kwa mazishi.
>
Mungu mwenye enzi na aiweke roho ya marehemu Mussa mahala pema peponi.Amen. Poleni wanafamilia wote katika kipindi hiki kigumu
Jamani. So sad! Mungu atupe moyo wa subira na ailaze roho ya marehemu mahali pema. Grace |
Gone too soon. R.I.P Mussa
RIP Musa,
Innallilah wainnah illay rajun, Mwenyezi Mungu ndiye mpangaji wa yote na ailaze roho ya ndugu yetu mpendwa mahali pema peponi. Kwa habari za awali mazishi yatakuwa Lushoto - Tanga, siku ya Ijumaa, labda kama kutakuwa na mabadiliko. Ameen
Â
                                                                                                                                                Â
Tanzania Cigarette Company Ltd
A member of the JTI Group of Companies
J6 H349 Euckenford Street
P.O.Box 683, Tanga
Â
--
That's so sad...R.I.P Mussa
May God rest his soul in eternal peace and give his family comfort and strength to move on.
Poleni Tambaza family pia
Daisy