Kuweni Macho!

30 views
Skip to first unread message

Ismael Kimirei

unread,
Nov 12, 2014, 3:32:54 AM11/12/14
to tamba...@googlegroups.com
Waheshimiwa wanaTambaza,
Ninaomba kukutahadharisheni kuwa kuna jamaa ana-pose kama Goodluck Minja akitapeli watu.
Amenipigia muda si mrefu kuhusu dili la kununua dawa za kulainishia miamba katika "kazi yake ya kuchimba visima" huko Mpwapwa Dodoma. Nimemsikiliza mpaka mwisho ili nijue mwisho wake. Baada ya maongezi hayo akaniambia anani transfer kwa ofisa manunuzi wao atakaye nipa mchongo mzima na jinsi ya kuwasiliana nao.
Hata kama Minja tulionana miaka mingi pale Tambaza, bado ninaweza kukumbuka walau sauti yake! Ila huyu jamaa anaongea kama yuko kwenye pipa na sauti sio ya "kichagga" kabisa.
So please mkifikiwa na huyo jamaa mjue anatafuta kukuibieni tu. Na anatumia namba hii hapa: 0772725012. Anaweza kuja kwa jina tofauti au hata na namba tofauti. But please be careful asije kukulizeni!
Kimirei
 
-------------------------------------
I.A. KIMIREI (PhD)
Centre Director
TAFIRI Kigoma
Box 90, KIGOMA
TANZANIA
Office:  +255 28 2802068
SkypeName: kimkiakim
ResearcherID:F-7385-2012
ORCID: http://orcid.org/0000-0002-1101-5262
-----------------------------------

SELEMAN MATIPA

unread,
Nov 12, 2014, 3:47:49 AM11/12/14
to 'Ismael Kimirei' via Tambaza High School (1994 to 1996)
Thanks man
--
Tambaza1996 Facebook Group: http://www.facebook.com/groups/tambaza1996/
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Tambaza High School (1994 to 1996)" group.
To post to this group, send email to tamba...@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/tambaza1996.

Abella kaijage

unread,
Nov 12, 2014, 4:05:11 AM11/12/14
to tamba...@googlegroups.com, 'Ismael Kimirei' via Tambaza High School (1994 to 1996)
Uwiiii amenipigia pia mimi just now

Nikajua ni Goodluck Minja na nikamuuliza why you choose me?

Goodluck , please confirm its not you!

Ismael Kimirei

unread,
Nov 12, 2014, 4:11:52 AM11/12/14
to tamba...@googlegroups.com
Sio Minja. Ni mpuuzi mmoja hivi.
Mimi nilimwacha anikutanishe na jamaa yake huyo mwingine.
Aliponipigia nikamwambia wakati wa kukutana naye hapa Kigoma ananiruhusu nije na polisi? Akasema ruksa. Nikamwuliza kama ameelewa kwanini nataka kuja na polisi. Nikamwambia ninaona unataka kuniibia. Akanitukana na kukata simu! Namba hii nyingine ni: 0688807469. Alijiita Eng. James Benson Mhina na alitaka niwasiliane na Dr. Mndolwa. So jihadharini msiingie kwenye mdomo wa kibaka!

Kwani Goodluck anafanya kazi gani? Ni kweli ni injinia wa maji na kwamba anachimba visima Mpwapwa? We need to track this guy down na kumkamata asiendelee kuibia watu!
Kimirei

-------------------------------------
I.A. KIMIREI (PhD)
Centre Director
TAFIRI Kigoma
Box 90, KIGOMA
TANZANIA
Office:  +255 28 2802068
SkypeName: kimkiakim
ResearcherID:F-7385-2012
ORCID: http://orcid.org/0000-0002-1101-5262
-----------------------------------

Apilike Gordon

unread,
Nov 12, 2014, 4:15:09 AM11/12/14
to tamba...@googlegroups.com
Mimi pia wamenipigia about 1hr ago ila sikumkawiza nikakata simu na alipopiga tena sikupokea na ameacha...

Naona wamekuja kivingine sasa mwanzoni walikuwa wanakupigia kwa dili za madawa ya mifugo...waliwahi kunipigia wakati huo pia machale yakanicheza nikawapiga chini fasta!

Apilike

Date: Wed, 12 Nov 2014 01:11:51 -0800
From: tamba...@googlegroups.com
Subject: Re: [Tambaza1996] Kuweni Macho!
To: tamba...@googlegroups.com

robert mshana

unread,
Nov 12, 2014, 4:27:23 AM11/12/14
to tamba...@googlegroups.com
umesomeka kaka

Farida Mawenya

unread,
Nov 12, 2014, 4:39:18 AM11/12/14
to tamba...@googlegroups.com, Farida Mawenya
Hata mimi amenipigia abt 1hr ago akadai ananifahamu muda mrefu ila mimi sikumtambua. Ni kweli sauti yake ni kama inatoka kwenye shimo au poor network. Bahati yake nilikuwa sijasoma hii email

Sent from Mobile

Moses Nkundwe Mwasaga

unread,
Nov 12, 2014, 5:20:36 AM11/12/14
to tamba...@googlegroups.com
Hi friends

Mimi pia amenipigia na amejitambilisha vingine.

Lakini ametumia namba hii 0658 927 501 Pia anafahamu ninapofanya kazi.

Inaonekana amefanya home work yake vizuri.

Nkundwe Moses Mwasaga

Lucie Bwana

unread,
Nov 12, 2014, 5:30:52 AM11/12/14
to tamba...@googlegroups.com
Asanteni kwa taarifa!!
Hongereni wote mliopigiwa mpo makini!!

Agnes Ngodoki

unread,
Nov 12, 2014, 8:04:43 AM11/12/14
to tamba...@googlegroups.com, Farida Mawenya
Salaam,

Na mimi huyu jamaa kanipigia leo asubuhi akajiita Eng. Howard Richard Ofisi ya Rais, na sasa yuko na project ya waziri mkuu issue za kuchimba visima,

Nilimwacha akaongea alipotaka kuniunganisha na huyo meneja manunuzi wao nikamwambia siko interested akata simu na namba aliyotumia ni hiyo ya zantel +255 772725012.

Kwa kweli kuna umuhimu wa kuwa makini na huyu jamaa
 
Nothing happens unless first a dream,Necessity knows no law.
AGNES NGODOKI
DAR-ES-SALAAM
TANZANIA

From: Farida Mawenya <farida....@di.co.tz>
To: tamba...@googlegroups.com
Cc: Farida Mawenya <farida....@di.co.tz>
Sent: Wednesday, November 12, 2014 12:41 PM

Apilike Gordon

unread,
Nov 12, 2014, 8:12:32 AM11/12/14
to tamba...@googlegroups.com
This is very interesting....

For this con man to call couple of Ex-Tambaza ppl within a short period of time today....could it be just a coincidence? Amewezaje kupata namba zetu wote kwa wakati mmoja? Kuna yeyote nje ya group hili amepigiwa simu na huyu jamaa?

Just courious!

Date: Wed, 12 Nov 2014 05:04:42 -0800

From: tamba...@googlegroups.com
Subject: Re: [Tambaza1996] Kuweni Macho!
To: tamba...@googlegroups.com

Gunini Kamba

unread,
Nov 12, 2014, 2:16:02 PM11/12/14
to Apilike Gordon, tamba...@googlegroups.com

Poleni sana wote mliokumbwa na kadhia hii... leo nilipokea simu kama 3 tofauti lakini wote nilishtukia hiyo deal coz si mara ya kwanza kukutana na matapeli wa aina hii... mwishoni niliwatukana wote na kuwatishia waache shortcuts ktk maisha labda waka fii. ...r.we wapate fedha ya chap chap

Val Kisanga

unread,
Nov 12, 2014, 2:55:08 PM11/12/14
to tamba...@googlegroups.com
Gunini umewapatia sana.. poleni sana! Naona kuna mtu ka-compromise email account ya Minja akapata contacts zetu wote. Asante for sharing! Wanafaa watukanwe kabisa.

Richard Valimba

unread,
Nov 13, 2014, 1:41:17 AM11/13/14
to tamba...@googlegroups.com
Shukrani kwa taarifa pia poleni kwa kutaka kuingizwa mjini kwa staili ya mwaka 47 huyo kenge staili hiyo aliianzisha kwa wafamasia kadhaa nchini yapata miaka miwili mitatu nyuma akijua fika kuwa ni wataalamu wa dawa na wanaruhusiwa kisheria kushika dawa na sumu za aina zote duniani, uwa anaingia kwenye mtandao unaohusisha groups kama hizi tulizonazo za fb kule kuna info zetu kadhaa ambazo umsaidia kujifanya anatufahamu sababu simu na mahali tunapofanya kazi vimewekwa hivyo ni rahisi kwake kutumia kwa ushawishi na walipomshtukia naona ametafua groups tofauti labda zisizofahamu sana hizo chemicals kwa majina na kazi zake na sasa ndiyo yuko nasi. Just be careful guys!

Rich.
--------------------------------------------
On Wed, 11/12/14, 'Ismael Kimirei' via Tambaza High School (1994 to 1996) <tamba...@googlegroups.com> wrote:

Subject: [Tambaza1996] Kuweni Macho!
To: "tamba...@googlegroups.com" <tamba...@googlegroups.com>
Date: Wednesday, November 12, 2014, 11:32 AM

Waheshimiwa
wanaTambaza,Ninaomba
kukutahadharisheni kuwa kuna jamaa ana-pose kama Goodluck
Minja akitapeli watu.Amenipigia
muda si mrefu kuhusu dili la kununua dawa za kulainishia
miamba katika "kazi yake ya kuchimba visima" huko
Mpwapwa Dodoma. Nimemsikiliza mpaka mwisho ili nijue mwisho
wake. Baada ya maongezi hayo akaniambia anani transfer kwa
ofisa manunuzi wao atakaye nipa mchongo mzima na jinsi ya
kuwasiliana nao.
Hata kama Minja tulionana miaka mingi pale Tambaza, bado
ninaweza kukumbuka
walau sauti yake! Ila huyu jamaa anaongea kama yuko kwenye
pipa na sauti sio ya "kichagga"
kabisa.So
please mkifikiwa na huyo jamaa mjue anatafuta kukuibieni tu.
Na anatumia namba hii hapa: 0772725012. Anaweza kuja
kwa jina tofauti au hata na namba tofauti. But please be
careful asije kukulizeni!
Kimirei
 -------------------------------------I.A.
KIMIREI (PhD)
Centre Director
TAFIRI Kigoma
Box 90, KIGOMATANZANIAOffice:  +255 28 2802068Fax:    +255 28
2802068
Home: +255 28 2803272
Mobile:+255 78 6451468SkypeName: kimkiakim
ResearcherID:F-7385-2012
ORCID: http://orcid.org/0000-0002-1101-5262
-----------------------------------

Sharon Dotto Abu

unread,
Nov 13, 2014, 4:55:07 AM11/13/14
to <tambaza1996@googlegroups.com>
Ile database yetu ya contacts itakuwa imeleak, inaelekea.

Gesona Ngabo

unread,
Nov 13, 2014, 5:00:16 AM11/13/14
to tamba...@googlegroups.com

Kweli kabisa Sharon, ile ilikuwa ina kila detail

kika...@yahoo.com

unread,
Nov 13, 2014, 6:52:00 AM11/13/14
to tamba...@googlegroups.com
This guy has tried to reach right now...iam trying to come with something so i can identify him

Sent from my HTC

Alice

unread,
Nov 13, 2014, 7:47:05 AM11/13/14
to tamba...@googlegroups.com
Wapendwa asanteni saaana for the heads up. No Shortcut hapa....

Regards,

AM
Sent from my iPhone 5s

isackkwayu

unread,
Nov 13, 2014, 9:57:52 AM11/13/14
to Val Kisanga, tamba...@googlegroups.com
Na mimi aisee nimepigiwa ila nilikuta missed call

Val Kisanga <val.k...@gmail.com> wrote:

Gunini umewapatia sana.. poleni sana! Naona kuna mtu ka-compromise email account ya Minja akapata contacts zetu wote. Asante for sharing! Wanafaa watukanwe kabisa.
2014-11-12 13:15 GMT-06:00 'Gunini Kamba' via Tambaza High School (1994 to 1996) <tamba...@googlegroups.com>:

Poleni sana wote mliokumbwa na kadhia hii... leo nilipokea simu kama 3 tofauti lakini wote nilishtukia hiyo deal coz si mara ya kwanza kukutana na matapeli wa aina hii... mwishoni niliwatukana wote na kuwatishia waache shortcuts ktk maisha labda waka fii. ...r.we wapate fedha ya chap chap

On 12 Nov 2014 16:12, Apilike Gordon <api...@hotmail.com> wrote:
This is very interesting....

For this con man to call couple of Ex-Tambaza ppl within a short period of time today....could it be just a coincidence? Amewezaje kupata namba zetu wote kwa wakati mmoja? Kuna yeyote nje ya group hili amepigiwa simu na huyu jamaa?

Just courious!

Date: Wed, 12 Nov 2014 05:04:42 -0800
From: tamba...@googlegroups.com
Subject: Re: [Tambaza1996] Kuweni Macho!
To: tamba...@googlegroups.com
CC: farida....@di.co.tz

Salaam,

Na mimi huyu jamaa kanipigia leo asubuhi akajiita Eng. Howard Richard Ofisi ya Rais, na sasa yuko na project ya waziri mkuu issue za kuchimba visima,

Nilimwacha akaongea alipotaka kuniunganisha na huyo meneja manunuzi wao nikamwambia siko interested akata simu na namba aliyotumia ni hiyo ya zantel +255 772725012.

Kwa kweli kuna umuhimu wa kuwa makini na huyu jamaa
 
Nothing happens unless first a dream,Necessity knows no law.
AGNES NGODOKI
DAR-ES-SALAAM
TANZANIA

<div style="font-family:'helveticaneue','helvetica neue','helvetica','arial','

modigwa mohamed

unread,
Nov 13, 2014, 10:04:57 AM11/13/14
to tamba...@googlegroups.com

Aisee, thanks for the heads up. Sijapata call bado, so will be careful.

This is very interesting....

kika...@yahoo.com

unread,
Nov 15, 2014, 10:51:56 AM11/15/14
to tamba...@googlegroups.com
Huyu jamaa hasnt call back mpaka leo...quick question to all, has any one had lost his/her phone recently? 
Brian
Sent from my HTC

----- Reply message -----
From: "'kika...@yahoo.com' via Tambaza High School (1994 to 1996)" <tamba...@googlegroups.com>
To: <tamba...@googlegroups.com>
Subject: [Tambaza1996] Kuweni Macho!
Date: Thu, Nov 13, 2014 14:51

This guy has tried to reach right now...iam trying to come with something so i can identify him

Sent from my HTC

----- Reply message -----
From: "Apilike Gordon" <api...@hotmail.com>
To: "tamba...@googlegroups.com" <tamba...@googlegroups.com>
Subject: [Tambaza1996] Kuweni Macho!
Date: Wed, Nov 12, 2014 16:12

This is very interesting....

For this con man to call couple of Ex-Tambaza ppl within a short period of time today....could it be just a coincidence? Amewezaje kupata namba zetu wote kwa wakati mmoja? Kuna yeyote nje ya group hili amepigiwa simu na huyu jamaa?

Just courious!

Date: Wed, 12 Nov 2014 05:04:42 -0800
From: tamba...@googlegroups.com
Subject: Re: [Tambaza1996] Kuweni Macho!
To: tamba...@googlegroups.com
CC: farida....@di.co.tz

Salaam,

Na mimi huyu jamaa kanipigia leo asubuhi akajiita Eng. Howard Richard Ofisi ya Rais, na sasa yuko na project ya waziri mkuu issue za kuchimba visima,

Nilimwacha akaongea alipotaka kuniunganisha na huyo meneja manunuzi wao nikamwambia siko interested akata simu na namba aliyotumia ni hiyo ya zantel +255 772725012.

Kwa kweli kuna umuhimu wa kuwa makini na huyu jamaa
 
Nothing happens unless first a dream,Necessity knows no law.
AGNES NGODOKI
DAR-ES-SALAAM
TANZANIA

From: Farida Mawenya <farida....@di.co.tz>
To: tamba...@googlegroups.com
Cc: Farida Mawenya <farida....@di.co.tz>
Sent: Wednesday, November 12, 2014 12:41 PM
Subject: RE: [Tambaza1996] Kuweni Macho!
Hata mimi amenipigia abt 1hr ago akadai ananifahamu muda mrefu ila mimi sikumtambua. Ni kweli sauti yake ni kama inatoka kwenye shimo au poor network. Bahati yake nilikuwa sijasoma hii email

Sent from Mobile

-------- Original message --------
From: Apilike Gordon
Date:12/11/2014 12:15 PM (GMT+03:00)
To: tamba...@googlegroups.com
Subject: RE: [Tambaza1996] Kuweni Macho!

Mimi pia wamenipigia about 1hr ago ila sikumkawiza nikakata simu na alipopiga tena sikupokea na ameacha...

Naona wamekuja kivingine sasa mwanzoni walikuwa wanakupigia kwa dili za madawa ya mifugo...waliwahi kunipigia wakati huo pia machale yakanicheza nikawapiga chini fasta!

Apilike

Date: Wed, 12 Nov 2014 01:11:51 -0800

From: tamba...@googlegroups.com
Subject: Re: [Tambaza1996] Kuweni Macho!
To: tamba...@googlegroups.com

Tambaza1996 Facebook Group: http://www.facebook.com/groups/tambaza1996/

---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Tambaza High School (1994 to 1996)" group.
To post to this group, send email to tamba...@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/tambaza1996.
--
Tambaza1996 Facebook Group: http://www.facebook.com/groups/tambaza1996/

---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Tambaza High School (1994 to 1996)" group.
To post to this group, send email to tamba...@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/tambaza1996.
--
Tambaza1996 Facebook Group: http://www.facebook.com/groups/tambaza1996/

---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Tambaza High School (1994 to 1996)" group.
To post to this group, send email to tamba...@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/tambaza1996.

--
Tambaza1996 Facebook Group: http://www.facebook.com/groups/tambaza1996/

---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Tambaza High School (1994 to 1996)" group.
To post to this group, send email to tamba...@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/tambaza1996.
--
Tambaza1996 Facebook Group: http://www.facebook.com/groups/tambaza1996/

---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Tambaza High School (1994 to 1996)" group.
To post to this group, send email to tamba...@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/tambaza1996.
--
Tambaza1996 Facebook Group: http://www.facebook.com/groups/tambaza1996/

---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Tambaza High School (1994 to 1996)" group.
To post to this group, send email to tamba...@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/tambaza1996.

--
Tambaza1996 Facebook Group: http://www.facebook.com/groups/tambaza1996/

---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Tambaza High School (1994 to 1996)" group.
To post to this group, send email to tamba...@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/tambaza1996.

--
Tambaza1996 Facebook Group: http://www.facebook.com/groups/tambaza1996/

---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Tambaza High School (1994 to 1996)" group.
To post to this group, send email to tamba...@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/tambaza1996.

--
Tambaza1996 Facebook Group: http://www.facebook.com/groups/tambaza1996/

Emmanuel Kipimo

unread,
Nov 18, 2014, 2:10:34 AM11/18/14
to tamba...@googlegroups.com

Duh! washikaji poleni sana na mikasa iliyowafika ila nnavyojuwa mimi watoto wa mjini hawatapeliwi tena wamesoma Tambaza! majuzi kati kuna mmoja alijifanya mchina eti anafanya biashara ya kununua dawa za mifugo kawatokea washikaji kibao lakini kaambulia patupu,leo naona kaja na mikogo mingine sijui! utapeli siyo dili miaka hii--------------------------------------------
On Thu, 13/11/14, modigwa mohamed <mod...@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [Tambaza1996] Kuweni Macho!
To: tamba...@googlegroups.com
Date: Thursday, 13 November, 2014, 18:04
Date: Wed, 12 Nov 2014 05:04:42
-0800
From: tamba...@googlegroups.com
Subject: Re: [Tambaza1996] Kuweni Macho!
To: tamba...@googlegroups.com
CC: farida....@di.co.tz

Salaam,

Na
mimi huyu jamaa kanipigia leo asubuhi akajiita Eng. Howard
Richard Ofisi ya Rais, na sasa yuko na project ya waziri
mkuu issue za kuchimba visima,
Nilimwacha
akaongea alipotaka kuniunganisha na huyo meneja manunuzi wao
nikamwambia siko interested akata simu na namba aliyotumia
ni hiyo ya zantel +255
772725012.
Kwa
kweli kuna umuhimu wa kuwa makini na huyu jamaa

 Nothing
happens unless first a
dream,Necessity knows no law.
AGNES
NGODOKI DAR-ES-SALAAM
TANZANIA Mobile:  +255-784-407-704
http://www.facebook.com/groups/tambaza1996/

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Tambaza High School (1994 to 1996)"
group.

To post to this group, send email to tamba...@googlegroups.com.

Visit this group at http://groups.google.com/group/tambaza1996.

--

Tambaza1996 Facebook Group: http://www.facebook.com/groups/tambaza1996/

goodluck minja

unread,
Dec 9, 2014, 5:32:21 PM12/9/14
to tamba...@googlegroups.com
Duuh! Guys pole na hayo majanga poleni saana yaani this  e-mail sifungu mara kwa mara hata habari hizi sina.
Nafikiri kuna mtu atakuwa kaingia kwnye link yetu ya tambaza akapata info za watu.
mie nipo dar and nifanya IT sijui chochote kuhusu maji. Hawa matapeli washawahi kunipigia simu mambo ya dawa ya mifugo nikawa nishapata habari nika watukana sana baada yakutaka kuwakamatisha na polisi wakashuta.
POLENI SANA.

Goodluck Minja
Director
KwickShop
Mob: +255 714 334 700 / 0752 202 59
E-mail: mi...@kwickshop.co.tz
Web: kwickshop.co.tz               

> Date: Tue, 18 Nov 2014 07:10:32 +0000

Shungu, Mahmoud

unread,
Dec 10, 2014, 12:35:35 AM12/10/14
to tamba...@googlegroups.com

Hey Guys,

Tunatakiwa kuwa makini sana na hawa jamaa, lakini kuna link ambayo wanatufahamu kwa kina, kwa sababu hata mimi siku ambayo nipo njiani kuelekea dar nipo na wife nilipigiwa simu ya aina hiyo na akaniita jina langu kwa usahihi kabisa, akasema alikuwa idara ya maji tanga na akataja jina lake ni james na   anajua fika mimi naishi tanga, nikamuuliza hiyo biashara yako inahusiana nini na mimi? Akakata simu wife akasema huyo hapigi tena simu. Ni  watu wanaotufahamu ambao hujua watapata chochote kitu kutoka kwetu, hawapigi kwa kila mtu, wanalenga…. Ila ushauri wangu ni kuwapotezea kwani wana mitandao ya uhalifu, husijaribu kutaka kuwakamatisha kwa hawa wana usalama wetu, kwani baadhi yao ni wenzao…

Mahmoud Shungu

Branch Supervisor

Tanga Branch

C&TM Operations

+255 (0) 27 2644638

+255 (0) 787 354448

mahmoud...@jti.com

Tanzania Cigarette Company Ltd

A member of the JTI Group of Companies

J6 H349 Euckenford Street

P.O.Box 683, Tanga

jti.com

From: tamba...@googlegroups.com [mailto:tamba...@googlegroups.com] On Behalf Of goodluck minja
Sent: Wednesday, December 10, 2014 1:32 AM
To: tamba...@googlegroups.com
Subject: RE: [Tambaza1996] Kuweni Macho!

Duuh! Guys pole na hayo majanga poleni saana yaani this  e-mail sifungu mara kwa mara hata habari hizi sina.

Emmanuel Akili

unread,
Dec 10, 2014, 1:46:30 AM12/10/14
to tamba...@googlegroups.com
Mimi nilishaitosha ofisi ya upepelezi Morogoro wakanishauri niwashawishi tukutane uso kwa uso afu niwape détails jamaa wakashtuka. Ila jioni yake kuna mtu alinipigia akaniomba msamaha akasema ni mtoto Wa ndugu yake ametumia simu yake na akaniambia Kama nimeibiwa chochote yupo tayari kuonesha ushirikiano kwa askari Kama nitahitaji kumkamata. Ofisi ya upelelezi wakaniambia ni hao hao wameshtuka wanajihami tu

Sent from my Windows Phone

From: Shungu, Mahmoud
Sent: ‎12/‎10/‎2014 8:35
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages