.Baba Yake na Lucy Qorro, aliyekuwa Mbunge wa Zamani wa Karatu Mr. Patrick Qorro amefariki dunia Jumamosi (08-Feb-2014) Saa 2 Usiku katika Hospitali Ya Taifa Ya Muhimbili ( MOI ).
. Napenda Kuchukua fursa hii kutoa pole zangu Kwa Wanafamilia wote Kuanzia mama Martha Qorro wa UDSM, watoto wake kuanzia Dada Lucy, Germana, Grace (ambao alisoma na wadogo zangu Muhimbili Medical University), David au Pandi na Tausi bila Kusahau Ndugu Jamaa na Marafiki.
.Msiba Upo nyumbani Kwa marehemu Ada Estate, Gulu Street karibu kabisa na zilipo ofisi za Sahara Media ( Star Tv, RFA na Kiss Fm).
.Marehemu atasafirishwa Jumanne (11-Feb-2014) kuelekea Karatu kwa mazishi. Jumanne itafanyika ibada na heshima ya mwisho hapa nyumbani Ada Estate kabla ya kuanza msafara.
.Namba ya simu ya Lucy Qorro ni 0767-502626
Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa Jina Lake Lihimidiwe Amen.
--
Tambaza1996 Facebook Group: http://www.facebook.com/groups/tambaza1996/
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Tambaza High School (1994 to 1996)" group.
To post to this group, send email to tamba...@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/tambaza1996.
Dear LUCY,
Pole kwa msiba wa mpendwa baba yetu, tunawaombea kwa Mwenyezi Mungu awape Nguvu kwenye kipindi hiki kigumu.
Ameen,
Tanzania Cigarette Company Ltd
A member of the JTI Group of Companies
J6 H349 Euckenford Street
P.O.Box 683, Tanga
From: tamba...@googlegroups.com [mailto:tamba...@googlegroups.com]
On Behalf Of William Kaijage
Sent: Monday, February 10, 2014 10:32 AM
To: tamba...@googlegroups.com
Subject: [Tambaza1996] Baba Yake na Lucy Qorro (Patrick Qorro) Afariki Dunia...
•Baba Yake na Lucy Qorro, aliyekuwa Mbunge wa Zamani wa Karatu Mr. Patrick Qorro amefariki dunia Jumamosi (08-Feb-2014) Saa 2 Usiku katika Hospitali Ya Taifa Ya Muhimbili ( MOI ).
• Napenda Kuchukua fursa hii kutoa pole zangu Kwa Wanafamilia wote Kuanzia mama Martha Qorro wa UDSM, watoto wake kuanzia Dada Lucy, Germana, Grace (ambao alisoma na wadogo zangu Muhimbili Medical University), David au Pandi na Tausi bila Kusahau Ndugu Jamaa na Marafiki.
•Msiba Upo nyumbani Kwa marehemu Ada Estate, Gulu Street karibu kabisa na zilipo ofisi za Sahara Media ( Star Tv, RFA na Kiss Fm).
•Marehemu atasafirishwa Jumanne (11-Feb-2014) kuelekea Karatu kwa mazishi. Jumanne itafanyika ibada na heshima ya mwisho hapa nyumbani Ada Estate kabla ya kuanza msafara.
•Namba ya simu ya Lucy Qorro ni 0767-502626
Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa Jina Lake Lihimidiwe Amen.